Lumumba kumbe mlikuwa na kinyongo na JK kung'ang'ania chama baada ya Gwajima kufyatuka ndiyo mkapata nguvu ya kutangaza tarehe ya mkutano!!John Mnyika ni mmoja wa vijana wazalendo hakukubaliana na ujio wa fisadi Lowasa ndio maana walimtupia ugonjwa wa Amnesia!
Mnyika ni kama toi chadema kwa sasa hana la kufanya zaidi ya kumsikiliza Mbowe kwa kinyongo!
#bringbackourMnyika
We ndio msemaji wake? Thibitisha hilo.Mnyika anajiandaa kujiunga na CCM...... Maana Chadema siku hizi wamekumbatia mafisadi....
Anayebisha akaulize waliokuwa viongozi wa CHADEMA jimboni kwake Monduli.Nfasi ya Mnyika amepewa Salum Mwalimu ambaye alipaswa kufanya kazi Visiwani. Huu ni mkakati wa Lowasa kuhakikisha kuwa wale wote waliompinga wakati anaingia CHADEMA hawapati nafasi
Hawezi kumkimbia mtuhumiwa mmoja aende kundi la mafisadi.Mnyika anachukizwa sana na chama chake kuwa rafiki wa mafisadi na kupinga utumbuaji majipu.
Mnyika anaumwa wakuu.... Tumuombeni, kwa sasa anapoteza kumbukumbu
Chama cha siasa ni watu wenye interests ambazo LAZIMA ziwe zinashabihiana.
Sasa kama yeye katofautiana na wenzie bado anafanyaje huko?
Anatakiwa ahojiwe na chama chake aulizwe kama bado yuko nao au la kama akisema yuko nao apewe jukwaa awaambie watanzania kuwa Lowassa ni mtu makini,muadilifu asiye na doa.
Akishindwa,atimuliwe mbona Slaa,Zitto wameenda na watu wamesahau tayari.
Itafahamika tu, umenena vema mkuu kama ameshidwa kwenda na matukio aondoke.Chama cha siasa ni watu wenye interests ambazo LAZIMA ziwe zinashabihiana.
Sasa kama yeye katofautiana na wenzie bado anafanyaje huko?
Anatakiwa ahojiwe na chama chake aulizwe kama bado yuko nao au la kama akisema yuko nao apewe jukwaa awaambie watanzania kuwa Lowassa ni mtu makini,muadilifu asiye na doa.
Akishindwa,atimuliwe mbona Slaa,Zitto wameenda na watu wamesahau tayari.
Mh! wee nawe mbona mnyika anavaa pete ya ndoa ina maana anavaa bosheni? lakini hata kwa muonekano wake siku hizi anaonekana kama mtu mzima fulani hivi anayepikiwa nyumbani na sio mla kwa mama lishe na Mahotelini,jaribu kuulizia utaambiwa lakini kuna uwezekano mkubwa ameshavuta jiko,sula la elimu sina nnacho jua kwa kweli.Mnyika bado ni mdogo sana. Nadhani alishindwa kusema kwa kuhofia mustakabali wake. Hapo alipo hana mke wala Degree.