Just thinking aloud

Just thinking aloud

Dopas

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2010
Posts
1,151
Reaction score
392
Naona tunakoelekea siko kabisa,
- Haiwezekani mtu kwa sababu ya mamlaka aliyo na labda mabaunsa alionao akataze wengine eti wasiongee
- Haiwezekani mtu huyo huyo akaanza kuongea tena wakati mwingine kejeli na lugha chokozi na matisho kwa jirani yake huyo, jirani aendelee tu kukaa kimya bila kupata uwanja wa kumjibu.
- Haiwezekani jirani akavumilia weee kutukanwa eti kwa sababu mabaunsa wanamlinda mchokozi wao.
Naona kama ipo siku, nahisi itafika haraka kuliko tunavyodhani ambapo hakuna tisho lolote litakalofanya kazi, hakuna baunsa yoyote atakaye mfunga mtu mdomo kisa eti bosi wake tu ndiyo mwenye haki ya kuongea .... naona kwa mbaaaali machafuko yakitunyemelea.... just thinking aloud.
 
Nakubaliana na wewe tena itaanzia hukohuko nyumbani kwake
 
Back
Top Bottom