- Thread starter
- #61
Na ndio mshahara wake huo mkuu acha haupate vzr
Ndo maana yake kaka!
Na ndio mshahara wake huo mkuu acha haupate vzr
yah ni kweli ila ni vizuri kujua pia sheet happen in life na usimuhukumu sana u never know.... namwonea huruma sijui kwa nini?
Fanyaa kwelii asikupotezee muda wako.yeye alikuona wa nn .kumbee kuna ambaye alikuwa anajiuliza atakupata Lin
Oh sorry jaman my best. But it wasn't my plan 2 live without her, it's how it is. U kno wat am sayin?.
Usijar my best Rene. mimi baba yangu mnyamwezi, mama yangu ni muha. Nimezaliwa jiji kubwa(Dar)mchana kweupe so upuuzi km huu siwez kuufumbia macho cause licha ya kuzaliwa jiji la wajanja. Lkn pia nshavuka boda kubwa na kujifunza mengi. Sitishiwi nyau ata siku 1 na kinyang'unya!
Maamuz mazur kaka big up
Bora mie niliyeamua kupiga puchu tu mpaka hapo mambo yangu yatakapo kaa sawa ndipo nimtafute wa ukweli maana mademu wa leo ni ugonjwa wa moyo!
i know ...as long as u have already make decision its okey
Thanx 4 agree with me. Natua siku zote ushaur wako huwa na faida kwa wanaokumbana na mikasa km yangu. Hongera kwa hilo!
Una moyo mzur ndugu yangu if i was me angepata shida hata kunywa sumu asinge tamani maneno yangu tu yangekua sumu tosha kabisa
Rest in peace Mrembo, if you'll be back on this beautiful planet make sure you keep your promise to your loved ones.
Asante sana mkuu karibu