Mr.nameless
Member
- Feb 11, 2015
- 30
- 4
Hapo umejibu sawa kabisaaa ujakosea mkuu we endelea na maisha yako...
Malipo ni hapahapa duniani.
Mkuu endelea na maisha yako huwezi jua Mungu amekuepushia nini na huyo mtu.
Msaidie akiomba msaada ambao upo kwenye uwezo wako hiyo itamwumiza zaidi. Usilipe kisasi kwani kisasi ni cha Mungu na tayari kisha anza kupata joto la jiwe.
Hapo umejibu sawa kabisaaa ujakosea mkuu we endelea na maisha yako...
Tatizo Dada Zetu Wanapenda Haraka Bila Kufikiri Mwishowe Wanasahau Kuwa Subira Yavuta Kheri Ndiomaana Wanaangukia Kwa Pua
?mwache ajiue, unavyomjibu jibu ndo unampa kichwa
Follow your heart!
I do homie.. Nobody will change my decision!
Na ndio maana kapoteza muda wake kuleta uzi hapa.There is a thin line between love and hate! All that hate you still love her!
There is a thin line between love and hate! All that hate you still love her!
That's it!Pay no attention to her! She is no longer yours, she was the one who dumped you!
I feel u bro, but naogopa dhambi za kuuwa. Acha ajiuwe mwenyew, maana wanakwambia Mshahara wa dhambi ni mauti.
Asant kwa ushaur mwamba wangu Innocent. Kwa sasa nshampotezea naangalia mambo yangu, na yy km bado hajajimaliza aangalie yake. Sina mda tena wa kukimbizana nae kimapenzi mpuuzi huyu!
UPWEKE +UMBALI = STUPIDITY ...... ni tatizo kubwa sana kwa mwanamke ,,..mwanamke akiwa mpweke kama hajui anahitaji nini aisee lazima anaswe tu.......... ungetakiwa ujue haya kabla ya kumuhukumu huyu mrembo.. kazalishwa sawa ila kama unampenda why not take care of her.... any way kama kajiua basi make sure u take care of her kids japo ni sperm ya mwningine siyo yako ,,
pole kwa binti, yani hapo kupata mume tena ni majaariwa plz nitumie namba yake nimfariji kipindi kigumu sana hicho
mkodie masela wampige chain
My best miss chagga kwa sasa siwez ku take care of her kwa 7bu nina m2 anaenihusu ambae ndio atakuwa my future wife. Huyu Martha kwa sasa nnachoweza kufanya ni kuwa nae km friends tu na kumsaidia pale nnapohitajika kufanya hivyo. Kuhusu mtoto wake, nafikir mtoto ana baba ake na baba ana ndugu zake, so ata km baba kaingia gizani anaweza kumchukua mtoto akampeleka kwa ndugu wa baba kwa msaada zaidi. Na endapo itashindikana basi akiwa na tatizo mi ntamsaidia kwa hiari yangu mwenyew na sio kwa kutaka kwake yeye. Nashkur kwa ushaur my best!