Just stay away from me girl

Just stay away from me girl

ndo maajabu ya baadh ya akina dada hayo. Huwa wajichanganya tu then wanakuja kujutia milele. Btw nadhan hajajiua ameamua awe mpole aone next move utakayofanya. Ukikaa kimya inawezekana akakutafuta tena so jiandae kwa hlo.

Akintafuta kiurafiki tutakuwa pa1, ila kimapenzi hatonipata na ndio itakuwa 7bu ya kumpotezea kabisa!
 
Malipo ni hapahapa duniani.
Mkuu endelea na maisha yako huwezi jua Mungu amekuepushia nini na huyo mtu.
Msaidie akiomba msaada ambao upo kwenye uwezo wako hiyo itamwumiza zaidi. Usilipe kisasi kwani kisasi ni cha Mungu na tayari kisha anza kupata joto la jiwe.
 
Tatizo Dada Zetu Wanapenda Haraka Bila Kufikiri Mwishowe Wanasahau Kuwa Subira Yavuta Kheri Ndiomaana Wanaangukia Kwa Pua
 
There is a thin line between love and hate! All that hate you still love her!

Yes my angel Lara.. I won't refuse what u say, but know dat I love her like a frend, sister, cousin nd other kind of family people, but i don't love her like my wife 2be, NEVER.. She jus lying herself abt dat!
 
samahani, we ni mhaya?

Usijar my best Rene. mimi baba yangu mnyamwezi, mama yangu ni muha. Nimezaliwa jiji kubwa(Dar)mchana kweupe so upuuzi km huu siwez kuufumbia macho cause licha ya kuzaliwa jiji la wajanja. Lkn pia nshavuka boda kubwa na kujifunza mengi. Sitishiwi nyau ata siku 1 na kinyang'unya!
 
Samahani labda mimi mgumu kuelewa, sijasoma sehemu ya manyanyaso hapo labda nieleweshe wapi amemnyanyasa?

Umemuuliza swali zuri, nataraji atakujibu kulingana na alichoandika. Maana hata mm hakuna mahali nlipoandika nimemnyanyasa, isipokuwa ye mwenyew ndio kaamua kujinyanyasa kwa kurubuniwa na mpuuzi mwenzie!
 
Tukushaur Nin Na Unategemea Kufunga Ndoa? Mludie Martha

I guess we utakuwa shoga ake, maana ulichoandika hapa kinajionesha clear km sio mchangiaji wa kawaida. Nimrudie Martha???
 
Yani hata usigeuke. Mimi nilizaa nae na mtoto nikabeba, yani hata akifa siendi.

Mkuu Nyamgluu hapa sijakuelewa... Inamaana we ndo uliezaa nae ukakimbia na kurudi kuchukua mtoto wako afu ukampotezea??, km ni ww basi mrudie ili mumlee mtoto wenu maana mm huku nlipo km ulivyosema sigeuki nyuma na wala sibadili mawazo!
 
alivyoenda kwa msouth HAKUDHANI NAWEWE UNGEJIUA!!?? labda.. bob hizo mbinu zake tu mkazie.. nani alimwambia atoe mkojo kwa msouth

Hahahaha..Ndo hapo bingwa wangu, yan ampe msouth mkojo afu kadhia ailete kwangu. Huu ni ushe.nzi usiovumilika kabisa!
 
Hata ujafanya kosa kwa hayo majibu mbona tena n malaini tu ungempa magumu zaidiii ilii akafe kwelii yaani hawa wanawakee hawaa cjui watafunguka Lin akilii na ahadi zote bado hakuridhika piga chin mkuu

Asant kwa ushaur mwamba wangu Innocent. Kwa sasa nshampotezea naangalia mambo yangu, na yy km bado hajajimaliza aangalie yake. Sina mda tena wa kukimbizana nae kimapenzi mpuuzi huyu!
 
Huwa nawahurumia sana wadada ambao wametelekezwa na jamaa zao baada ya kuzaa nao. Wanaonekana kama rejects vile, it's like they don't have right to love and be loved....!

Some they have right 2b loved, but their ds'pointin themselves. Jus pic my love's story, then u wil undstnd what i'm sayin!
 
Tenaa n mpuuziiii kabisa narudia n mpuuzii mshenzi mkubwaa mkuu tenaa ungemsaidia hiyoo hela ya kukununua sumu pumbavuu kabisaa

I feel u bro, but naogopa dhambi za kuuwa. Acha ajiuwe mwenyew, maana wanakwambia “Mshahara wa dhambi ni mauti”.
 
Back
Top Bottom