Just in: UDSM wafukuzwa

Kitila Mkumbo leo anaona CCM ni nzuri baada ya kulambishwa asali
 
Enzi hizo Maxence Melo anachangia hoja mara kwa mara tena kwa ID yake halisi. Sasa hivi akichangia hivi watammaliza wakoloni wa ndani.
Enzi hizo Kitila Mkumbo hajaanza kula meza moja na wakoloni wa ndani, hajaanza kuwa mtu wa kusifia ovyo kiwango cha kushusha uwezo wake wa kufikiri na kujenga hoja au kutweza utu wake.
 
Sasa hii serikali yetu inaweza nini?
Hatuna katiba imara na mipango thabiti juu ya maendeleo ila sio kwamba hatuna rasilimali ama pesa ya kuyafanikisha hayo.
Mianya ni mingi panya wanatoboa kila sehem
 
Pesa ni kitu kibaya sana, ukiambiwa kitila wa leo ndio huyu wa 2006 unakataa kata kata.
Na ngumi πŸ‘Š unaweza kurusha, utaona wanakuletea dharau πŸ˜‚
 
Dah! Those days nikiwa ndo kwanza new arrival at the hill ...tulikula msoto wa Le profeseri Msolwa tukipambania kitu kinaitwa "means testing". Watoto wa leo Wana cha kujifunza hapa
 
Ndugu Kitila Mkumbo, ile kawaida ya serikali ya CCM kutoa majibu rahisi kwa maswali magumu imeisha!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…