Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Hata wajinga wanajua kuandika, kama ambavyo nao huzeeka... na kufa... UNFORTUNATELY MAKABURI YA WAJINGA HAYAPO ENEO LA PEKEE YAKE... MNACHANGANYWA TUPumbavu mpaka umeweza kuandika hapa maana ake akili unazo na maamuzi unayo. Wacha ujinga wako
Njoo pm nikupe picha yangu uweke,then nipe namba ya huyo Mwanaume wa Dar nipambane nae.U just help me coz sielew Why he is limiting me to post the mens
Mpo under 18?....mara nyingi wivu wa namn hiyo ni mariooJamaa keshaona uyu bidada bado ana matumaini ya kurudiana ndo maana anamdrive ivo, inakuwaje kila mtu na maisha yake afu akupangie sasa! Labda na umri wao bado hawajielewi ni nini wafanye
U just help me coz sielew Why he is limiting me to post the mens
You can not be seriousI just imagined, but I still see completely nothing 🙂
Baba mtoto ndiyo kashasema sasa, usikaidiTangu nimeachana na mwanaume wangu tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja. Sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile, amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume.
Imagine ungekuwa wewe ungefanyaje? Anasema anajisikia vibaya ataki kuwaona.
Pia mwambie baba wa mtoto aache utoto, kwanza unatakiwa ushukuru Mungu kukuepusha na mwanaume wa hivyo, mipango ya Mungu sio kama ya wanadamuTangu nimeachana na mwanaume wangu tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja. Sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile, amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume.
Imagine ungekuwa wewe ungefanyaje? Anasema anajisikia vibaya ataki kuwaona.
Hahahaaaa ndo ushakuwa mke wake mdogoU just help me coz sielew Why he is limiting me to post the mens
Dah haya Makande ya wapi Aya anyway sababu bado unampa basi endelea kumtunzia heshima na sababu bado anakwambia ataachana na aliyenaye endelea kumtunzia heshima na sababu bado unaisi ananipenda basi mtunzie heshima na sababu bado Yuko na Yule Kwa bahati mbaya basi endelea kujikosesha furahaCause imefika stage nimeamua tu kumrespect I m not posting the mens kila nikipost lazima tugombane