Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Utoto wenye kiwango cha standard gaugeJamaa keshaona uyu bidada bado ana matumaini ya kurudiana ndo maana anamdrive ivo, inakuwaje kila mtu na maisha yake afu akupangie sasa! Labda na umri wao bado hawajielewi ni nini wafanye
Anamlea.Tatizo ni wewe, huyo mtu wako hana tatizo....wewe una uboya!!!!
Bado una akili za kitoto so ameamua kukuchezea. Kwa hiyo ukimuweka mtu wako dp atakupiga risasi au? piga block endelea na maisha yakoU just help me coz sielew Why he is limiting me to post the mens
aisee za sku nyingiTatizo ni wewe, huyo mtu wako hana tatizo....wewe una uboya!!!!
That's childish and you have agreed to be played that way. For how long will you be numb with his words? Yaani mpaka mnagombana huku kila mtu akiwa na mahusiano mapya?! Labda utuambie kuwa huwa mkikutana mnakumbushia( secret relationship) vinginevyo tambia kuwa upo free, fanya yako na akija this time mchaneCause imefika stage nimeamua tu kumrespect I m not posting the mens kila nikipost lazima tugombane
Naona mdogo wako anajaribu kuwakirisha alichonacho moyoni kwa kiingereza😆😆Why is he.
Men.
Poa, mambo?!aisee za sku nyingi
Ananiambia niblock nisiwaone kwanini unapost wanaume in ur profile utashindwa kuolewa!
Yaonekana bado mnapendana ila "utoto" ndiyo unaowasumbua, maana kama wewe ungekuwa humpendi wala hilo katazo lisingekushughulisha zaidi ungemchukulia RB Polisi ili aache kukusumbua.Tangu nimeachana na mwanaume wangu tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja. Sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile, amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume.
Imagine ungekuwa wewe ungefanyaje? Anasema anajisikia vibaya ataki kuwaona.
U just help me coz sielew Why he is limiting me to post the mens
Bado mnapendana nyie kila mmoja anamwonea mwenzie wivuTangu nimeachana na mwanaume wangu tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja. Sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile, amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume.
Imagine ungekuwa wewe ungefanyaje? Anasema anajisikia vibaya ataki kuwaona.
He might be limiting you tou post men because he is still in love with you or he can't stand the fact that you can be with other men and still look after your son who is his blood.U just help me coz sielew Why he is limiting me to post the mens
Yaani anakukataza kufanya jambo, na wewe unakatazika...Tangu nimeachana na mwanaume wangu tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja. Sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile, amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume.
Imagine ungekuwa wewe ungefanyaje? Anasema anajisikia vibaya ataki kuwaona.
Shemela namna hii UTAUWA sasa...Tatizo ni wewe, huyo mtu wako hana tatizo....wewe una uboya!!!!
Hao wanaume ni mapenzi wako..!? Were you posting them before..!?U just help me coz sielew Why he is limiting me to post the mens