yaani bwege kweli kweliTatizo ni wewe, huyo mtu wako hana tatizo....wewe una uboya!!!!
utoto unamsumbua akikua ataachaYani yeye kishamove ana mtu, afu huyu haruhusiwi kupost matraakooo yake
Ananiambia ni hide nisiwe naona post zako za hao washkaji wako
mliachana kisa nini?Tangu nimeachana na mwanaume wangu tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja.sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile.amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume imagine ungekuwa wewe ungefanyaje anasema anajisikia vibaya ataki kuwaona.
Unapost wanaume wangapi?Tangu nimeachana na mwanaume wangu tuna mwaka mmoja sasa hatuna mawasiliano mazuri tulibahatika kupata mtoto mmoja.sasa yeye saizi ana mahusiano mapya na ameyaweka public kwa friends na baadhi ya ndugu but why ana nilimit Mimi kuweka picha za wanaume in ma profile.amenambia nisiweke picha yoyote ya mwanaume imagine ungekuwa wewe ungefanyaje anasema anajisikia vibaya ataki kuwaona.
Miaka 9 ila hatukuwahi kuishi pamoja ila tumewah kukaa kidogo I mean miez michache kama mke na mume coz tunaishi mikoa tofautmliachana kisa nini?
alikuoa au kukuchumbia?
mahusiano yenu yalidumu kwa muda gani kabla ya kuachana?
Ni friends tu may be wana birth nawa wishNaona anajaribu kukusaidia maana hauna akili ni kweli usipost post wanaume hovyo tafuta mmoja na wewe na umposti ambae unauhakika naye maana usipoolewa utakuja kumlaumu baadae nimejaribu kuimagine hivyo
umejibu swali moja tu hapoMiaka 9 ila hatukuwahi kuishi pamoja ila tumewah kukaa kidogo I mean miez michache kama mke na mume coz tunaishi mikoa tofaut
Alinichumbia alitoa baruamliachana kisa nini?
alikuoa au kukuchumbia?
mahusiano yenu yalidumu kwa muda gani kabla ya kuachana?
kisa cha kuachana?Alinichumbia alitoa barua
alafu sipendi kurudia maswalikisa cha kuachana?
Mmh nilikuta text kwa phone ake nikamwambia na move onalafu sipendi kurudia maswali
Usidhani anakuonea wivu ni msaada anakupa maana tayari unamtoto alafu kila siku unabadilisha picha za wanaume sio sifa nzuri kwa mustakabali wa mtoto wake na maisha yako. Kifupi jamaa anakupenda kwa dhati hataki udharaulike ni basi kuna namna mlishindwa kuyatatua matatizo yenuNi friends tu may be wana birth nawa wish
ulizingua sana. japo kwa upande wako unaweza ona ni sahihi!Mmh nilikuta text kwa phone ake nikamwambia na move on
Izo mens unazopost wako wangapi sasa labda idadi imemchanganyaU just help me coz sielew Why he is limiting me to post the mens
Jamaa keshaona uyu bidada bado ana matumaini ya kurudiana ndo maana anamdrive ivo, inakuwaje kila mtu na maisha yake afu akupangie sasa! Labda na umri wao bado hawajielewi ni nini wafanyeYani yeye kishamove ana mtu, afu huyu haruhusiwi kupost matraakooo yake