Just go | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Just go

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by banizle, Feb 1, 2011.

 1. banizle

  banizle JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2008
  Messages: 218
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Huyu binti nlimpenda sana, I have never been this honest katika mahusiano yoyote nliyokua nayo before. Aliniaga anakwenda chuo Tabora. Kama wiki mbili zilizopita,nikampa baraka zangu zote nikamwambia Mama nenda lakini jua kwamba nakupenda sana naomba ulinde penzi letu, binti akaitikia, na mpaka leo mchana ninaongea nae kwenye simu najua yupo Tabora. Kuna rafiki yangu jioni hii kanipigia simu akaniuliza demu wangu yupo wapi? Nikamjibu Tabora, akashangaa akanambia dem wako namuona Mwenge dar, na kufanya asiwe na pakutokea msela wangu akaenda kumsalimia. Nimeamua kuachana nae for good, mana hii sio mara ya kwanza kunidanganya mara ya kwanza nlikosa ushahidi hivo nlimsamee. This tyme nimeamua nimuache aende zake. Naamini nime make the right decision wana jamii.
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  senks kwa kutupatia hii taarifa.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kama ni kukudhalilisha, basi huyu kazidi.
  Lakini cha msingi angalau ungepata nafasi ukajua ni sbb gani anajiamini kukudanganya hivyo, huenda ikakusaidia kwa siku za usoni..
  Usikute uko uko loose mahala, na anapatumia hapohapo!
  Mkuu, matumizi unatoa?...lol!
   
 4. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kabla ya kumhukumu muulize, mpe nafasi ajitetee! That I hope is a basis of human right and freedom. The issue of natural justice! Hata hivyo pole sana
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kamanda, huyu jamaa kaleta taarifa tu kwamba kamtema mmanyema wake. yaani dah! huyu ndio anaelewa mipaka ya haya mambo. kuna mwengine kesi kama hii bado angelikuja kutaka ushauri hapa jamvini. yaani jamaa nimemuhusudisha kweli hii style ya post yake.
   
 6. banizle

  banizle JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2008
  Messages: 218
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Matumizi kama kawaida namtimizia asilimia kubwa ya vitu anavo vitaka. Namimi nashangaa siju ana nini huyu mwanamke.ila ndo ivo imebaki history no turnin back.
   
 7. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hamna kujitetea hapo, utasemaje uko tabora halaf unaonekana mwenge bana! think! mkuu think!
   
 8. n

  ng'wanamakamya Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  U never know with women!
   
 9. banizle

  banizle JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2008
  Messages: 218
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Asante sana kaka.
   
 10. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hapa naona tayari ushatoa maamuzi na unatupa tu taarifa. Haya kila la heri.

  Kwa ushauri wangu usirudi nyuma. Ila take care na huyo rafiki yako kweli kamuona???

  Usije shangaa ukakuta ndo kakupindua?? Ushauri tu lakini
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hongera kwakua na msimamo!Mwingine angekuja hapa kulia!
   
 12. banizle

  banizle JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2008
  Messages: 218
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Haha! Hapana kaka ni mmoja wa marafiki wangu wa karibu. Alafu alimuona na akaenda kumsalimia yule mwanamke alishtuka alivomuona yule jamaa yangu. Na hapo hapo nkiawa nampigia yule dada simu akawa hapokei. Alafu mbaya zaidi alikua na msela wanaongozana. ndo ivo inauma lakini haina jinsi.
   
 13. banizle

  banizle JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2008
  Messages: 218
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Yah its over. Thanks
   
 14. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Dedication:
  Nendaaaaaa nendaaaaaa nendaaaa hata kama zamani nilipenda.
  ya nini malumb.............
  hakufai kimbia. wadada wengine wakipendwa wanakuwa kama wehu. tulia kaka angu utakuja mpata mwingine atakaekupenda na kukuthamini
   
 15. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hakuna cha kuuliza hapo
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Pole sana!
   
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  nazani kama wanaJF wangekuwa na msimamo kama huyu mleta sredi, sredi za kizembe nyingi zingepungua hapa. kuna ishu hazihitaji ushauri bana! ukitafta ushauri unajizalilisha tu.
   
 18. banizle

  banizle JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2008
  Messages: 218
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Asante sana!
   
 19. next

  next JF-Expert Member

  #19
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 601
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Ni uamuz mgumu, ila wenye tija. Hongera kaka
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Dah!
  Ungemsikiliza kwanza bwana.
  Umefanya maamuzi ya haraka sana.
  Ungeunda na kamati ya kuchunguza madai yake. Lol!
   
Loading...