Jussa wa CUF kutikisa kanda ya ziwa.

Aibu itakukuta jusa.kanda ya ziwa hawadanganyiki na ccm B+, huyu jusa ana propaganda chafu lakini siku zao zimefika mwisho
 
Jussa na Mtatiro kwa kujitengenezea Perdiems hawajambo! Uchaguzi ukiisha Arumeru utaskia wanaenda na huko kuimarisha chama!

Mbona kote walikopita CUF imekufa, wanaimarisha au wanaua?Sasa Jusa anataka atuambie huko kanda ya ziwa waislamu ni wengi kuliko Zanzibar?
 
Kama CHADEMA Ilivyo ya WACHAGA

You need to be updated. Hiyo version hata Magamba walishaitupilia mbali, version ya mwisho nadhani ilikuwa ni ukatoliki, na sasa wanatafakari watoke vipi, maana CDM ishapiga hodi ya nguvu Zanzbar sasa!!!
 
Back
Top Bottom