Jussa: Hakuna "kupatana" na Watanganyika

Barubaru

Zanzibar ina uwakilishi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano. Kwa nini Wabunge wa CCM na CUF waselete Hoja ya Kuuvunja Muungano katika Bunge la Jamhuri ya Muungano IJADILIWE kama BLW haliwezi kujadili Muungano?

Mkuu Unkijibu hapo tutaendelea na Mjadala vizuri na si Porojo za Jussa
 
Last edited by a moderator:

Albedo.

Amini usiamini JF ni sehemu nzuri sana ya kujifunza mambo ambayo uliyokuwa huyajui.

Kwanza ningependa kukujuza kuwa Ndani ya Bunge la Muungano kuna Wabunge waDanganyika zaidi yya 82% na chini ya 18% ni kutoka Zanzibar.

Lakin Suala hili kwetu wachambuzi wa Mambo tunaliona KWA kuwa St Nyerere alipinga kwa nguvu zake zote kuanzishwa kwa Serikali ya Tanganyika basi aliweza kuwaloga waTanganyika wenzake wote kutoona umuhimu wa UTanganyika wenu na hivyo kuwa ndoto kwenu kuwa na Tanganyika yenu. Kwa kumuogopa yeye lakin pia kwa kuto jiamini kwenu kama mnaweza kusimama peke yenu bila Znz. Znz ilishawasaidia kuomba Serikali yenu na JK Nyerere alikataa.

Hebu nikupe story kidogo za harakati hizi.

Mdahalo wa kwanza juu ya mfumo na muundo wa Muungano ulianza kwa njia ya maoni juu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano mwaka 1983/84. Hapo, kwa mara ya kwanza ilibainika kuwa viongozi wa juu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wakiongozwa na Rais Aboud Jumbe, na wale wa Serikali ya Tanzania, wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano, Mwalimu Julius Nyerere, walikuwa na mitazamo tofauti inayokinzana juu ya Muungano.

Jumbe na timu yake walitaka Muungano uwe na Serikali tatu kwa maana ya Serikali ya Tanganyika, Serikali ya Zanzibar (iliyopo sasa) na Serikali ya Muungano yenye kushughulikia mambo ya Muungano tu, ambayo yameainishwa katika Ibara ya 6(a) ya Katiba ya Muungano (Articles of Union) na kifungu cha 8 cha Sheria ya Muungano (Acts of Union) Namba 22 ya 1964, na hatimaye ibara ya 4 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.

Jumbe alikwenda mbali zaidi kwa kuandaa Hati ya Maombi ya kuhoji na kutaka ufafanuzi kwenye Mahakama Maalum ya Kikatiba juu ya muundo sahihi wa Muungano kwa kutumia ibara ya 125 ya Katiba.

Tofauti hizi kati yake na Mwalimu hazikwisha salama kwa Jumbe kuthubutu kukanyaga mahali "patakatifu" bila kuvua viatu. Jumbe alilazimishwa kuachia ngazi zote za uongozi wa nchi kuanzia Urais wa Zanzibar, Umakamu wa Rais wa Muungano, na nafasi zote za kichama Januari, 1984.

Utata huu uliibuka tena kwa nguvu mpya zaidi wakati Wabunge 55 (maarufu kama G55) wa Bunge la Muungano, walipowasilisha bungeni mwaka 1993, hoja ya kutaka kuundwa/kurejeshwa kwa Serikali ya Tanganyika kwa kukasirishwa na hatua ya Zanzibar kujiunga na OIC kama nchi huru nje ya Muungano, Desemba 1, 1992.

Ukweli, Bunge lilikuwa limekwisha kupitisha kwa kauli moja, Azimio la kuanzishwa kwa Serikali ya Tanganyika Agosti 24, 1993 kwa maana ya kuwa na Serikali ya Muungano inayoundwa na Serikali hai zenye Mamlaka huru, za Tanganyika na Zanzibar, kama vile tu alivyotaka Rais Jumbe mwaka 1983.

Hata hivyo, Azimio hilo lilipigwa rungu zito na Mwalimu Nyerere na likavunjika.. Na kama ilivyokuwa kwa Jumbe, hapa napo mambo hayakuisha salama; safari hii Waziri Mkuu wa wakati ule, John Malecela (hongera kwa kutimiza miaka 75) na Katibu Mkuu wa CCM, Horace Kolimba, walipoteza nyadhifa zao kwa sababu ya ama kunyamazia au kuunga mkono hoja / Azimio la G 55.

Sijui waDanganyika muweke bayana kulikuwa na Siri gani mpaka Nyerere akatae kuanzishwa kwa Serikali yenu?
Na vipi wabunge wenu ambao ni zaidi ya 82% bungeni wanashindwa kulizungumzia hili na kumwacha pekee Tundu Lissu?

Pasi na shaka mtakuwa mumelogwa ili mukatae utaifa wenu.

Mkuu Barubaru Tundu Lissu aliongea Bungeni halafu hao Wabunge wenu wa Zanzibar Wakamnanga kwa Matusi na Kejeli za Kila Namna

Labda Nikuulize Barubaru Ni kwa nini basi hao 18% Hawakumuunga Mkono Tundu Lisu may be Wazanzibar wangepata pa Kuanzia.

Mkuu Barubaru hata leo nikisikia mmejitoa kwenye Muungano mimi nitafurahi sana maana sioni tofauti ya Tangantika kuwa au kutokuwemo kwenye Muungano. Mnaohangaika na Muungano ni Ninyi Wazanzibar ikiletwa hoja mezani Mnaruka Kimanga sasa Tuwaiteje? WANAFIKI
 
Labda nifafanulie kidogo.

Je WaZnz wawasaidieje nyie kudai Utaifa na Serikali yenu? maana wenyewe mumelogwa kabisa na kudharau na kusahau Utaifa wenu.

Jiulize kwanini wasitokee wale G55 wengine kudai utaifa na Serikali yenu?

Kumbuka kuwa hata Zitto Kabwe alipotoa Issue ya EPA (mikataba kusainiwa nje) alinangwa na hata kufukuzwa kwa muda bungeni. Je mwisho hayakutimia?

Padre Dr Slaa alipotoa kwa mara ya kwanza issue ya RICHMOND, hakuzomewa na kudhalilishwa lakin mwisho hayakutimia

Ndio maana Mwalimu JK Nyerere aliwahi kusema katika moja ya hotba zake akanena Wazanaki wanasema “ UBUBISUBISU OBUWERE EKIRO KIRIMBURA” akiwa na maana ya MFICHAFICHA MARADHI KILIO KITAMFICHUA.

We Kalaghabaho

Nina imani kubwa somo limekuingia vizuri sana kama huna hoja basi kwaheri. Na kama una zaidi tuonane kule kwenye uzi wa Barza ya Ahmed Rajab kwani kuna mengi sana nayapambanua kuhusu mvungano wenu.

Mtanganyika mwenzangu kumbuka Madascar,comoro na AUSTRALIA,cuba,jamaica,uingereza..........navyo ni visiwa tu

Hao uliowataja wanajitumikia wenyewe zanzibar hawawezi kujitegemea, kila kitu tunawapa hapa, wapemba wote wako bara tumewapa ardhi na njia mbalimbali za kupata hela leo hii wanatutukana
 
Hao uliowataja wanajitumikia wenyewe zanzibar hawawezi kujitegemea, kila kitu tunawapa hapa, wapemba wote wako bara tumewapa ardhi na njia mbalimbali za kupata hela leo hii wanatutukana
kwa hiyo wazanzibar wanatutumikia sisi......kutokana na matusi ayo waacheni waende zao
 
Barubaru

Kwa nini Wazanzibar hawakumuunga Mkono Tundu Lisu?

Siku zote mcheza kwao utunzwa.
Sasa kama waDanganyika wenzake ambao wapo zaidi ya 80% wamempuuza unategemea wageni wakusupport?

Chama chake, waDanganyika wenzake wote wamemdharau na kumpuuza kabisa sasa wewe unategemea nini kutoka kwa wageni?

Tindu Lissu anakufa moyo sababu watanganyika wenzake mumelala usingizi fofofo tena ule wa pono.

Angalia waZnz hususan wakiwa Barazani wanapo unga mkono kila mtu anayezungumzia kero za Mvungano wenu.

Nakupa pole sana.

Hata Majibu yako yanaonesha kwamba Hamko Serious na TUTAENDELEA KUWATAWALA mpaka mwisho wa Dunia. N a Kwa Taarifa yako Ally Hassan Mwinyi ndiye Mzanzibar wa Mwisho kuwa Rais wa JMT.

Kwa vichwa kama vyako Zanzibar itaendelea kuwa Koloni la Tanganyika siku zote
 
Mimi ninachofikiri ni kwamba Tanzania bara,hatufaidiki kiuchumi na huu muungano,ila kwa upande wa usalama ni bora ukaendelea kuwapo.Wazanzibar wanafaidika sana kiuchimi,kwasababu wengi wao wamenunua hata ardhi ambapo wasingeweza kupata huko kwao.Ninachoona ni kwamba kuna nchi fulani zinawadanga kuwapa misaada,hasa za Uarabuni,na wao hawaangalii athari zitakazowapata wakiondoka kwenye muungano.Wakiondoka kwenye muungano,kwa sababu ya tamaa,hoja za kujitenga Unguja na Pemba zitajitokeza tena.Ni vyema Serikali ikaruhusu an open debate kuhusu muungano,hii itaondoa hii mikwaruzano inayojitokeza.MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRIKA.
 
Kuvunja Muungano kwa Kupost kwenye Facebook? These people are not serious. Bring the motion to the Parliament at least to show your seriousness. Sitting behind the keyboard, lamenting through social media won't do anything Good to your fellow Zanzibar
 
Hata Majibu yako yanaonesha kwamba Hamko Serious na TUTAENDELEA KUWATAWALA mpaka mwisho wa Dunia. N a Kwa Taarifa yako Ally Hassan Mwinyi ndiye Mzanzibar wa Mwisho kuwa Rais wa JMT.

Kwa vichwa kama vyako Zanzibar itaendelea kuwa Koloni la Tanganyika siku zote

Kwanini unaandikia MATE na WINO upo.

Kuwa na Subra tu utayaona mengi.
Kwani siku zote hakuna marefu yasio na ncha.

Pole sana.

Kwanini unaandikia MATE na WINO upo.

Kuwa na Subra tu utayaona mengi.
Kwani siku zote hakuna marefu yasio na ncha.

Pole sana.

Hakuna kitu Blah blah tu as far as hao mnaowategemea Wavunje Muungano Tunawalipa sisi Posho, as far as wamejenga mahekalu yao Mikocheni, as far as wanabiashara zao huku bara kwenye soko kubwa tutaendelea kusikia Blah blah za akina Jussa na Barubaru tu. Maalim Seif Mwenyewe sasa hivi anatakata, anakunywa Whsyk Ikulu, na Kunyoa Ndevu na kuvaa Suti za Kitaliano ha ha haaaa

Poor Zanzibar yaani mnategemea Watanganyika wawasaidie kuvunja Muungano ili Mkachinjane? Hatuwezi kufanya hivyo asilani kwa sababu Mtatusumbua sana kutafuta Hifadhi.

Mkitaka Lianzishe si Mna Baraza lenu, Jeshi lenu, Rais wenu.
 
Yani wazenj wanasubiria sisi wabara ndio tuwavunjie muungano,watasubiri sana...muungano hautunufaishi wala hautusumbui,so uwepo usiwepo yote sawa tu ndio maana hautuumizi vichwa...by the way kumiliki koloni kuna raha yake!!
 
Mchungaji mmoja alianza hili mkampa majina ya dhihaka.... Aaagr nakasirika ngoja nikisukume huko Somalia hicho kichuguu kilichoko hapo....... tuone mtazungumza nini
 
Back
Top Bottom