kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,931
- 7,829
Kitendo cha Jussa na genge lake kuendelea kudai mamlaka kamili ya zanzibar ni sawa na ujuha. Wao wanachotaka ni kuvunjika jamhuri ya muungano wa Tanzania lakini wanazunguka mbuyu utadhani wachawi. Lazima watanzania wawe macho na hasa wazanzibari wenyewe.
Hawa wanaodai zanzibar huru ni nani na wanaongea kwa niaba ya nani. Mapinduzi ya 1964 yaling'oa utawala wa kigeni na kandamizi kwelikweli kwa waafrika.
Serikali ya Mapinduzi licha ya karne nyingi za waafrika kutendewa maovu imeongoza nchi bila ubaguzi. Je hili o sio linalowakera kina Jussa na akina Maalim Seif? Bila shaka wao wanajiona bora kuliko wazanzibari wengine hivylazima utawala urejeshwe kwao! Hebu changieni wakuu.
Hayo ni maoni tu.