JUNI MOSI:Wamasai wa Ngorongoro kutikisa nchi

JUNI MOSI:Wamasai wa Ngorongoro kutikisa nchi

Nawaheshimu sana Wamasai ,nimekuwa mtalii wa ndani kwa muda sasa ,nimepanda mlima kilimanjaro nayajua maeneo mengi yanayouzunguka huu mlima ,wachagga ndio kabila kuu pembezoni mwa huu mlima nakiri kweli wameshindwa kutunza mazingira ya huu mlima !wanakata miti hovyo n mandhari yake imepotea kabisa mwezi april 2013 nilikuwa ngorongoro na serengeti kwa kweli niliwapenda wamasai na ni kati ya kabila ninaloliheshimu kuliko hata kabila nilipotoka mimi i salute massai people hawa jamaa ni more than human being hata wanyama waporini wanawarespect hawa watu japo mnawadharau sana lakini,nilishuhudia hawa watu wakiishi katikati ya mbuga na hawaharibu mazingira ,hawakati miti na ajabu ni kuwa hawauwi wanyama!!wanahifadhi mazingira kwa kiasi kikubwa nashindwa elewa hawa viongozi wetu hata hawafanyi tours wakajionea ??jamani tuwe na utu unategemea wale wapi hawa watu kumbukeni toka tumezaliw aenzi naenzi hawa watu wanaishi humo kwenye hifadhi wanataka waende wapi?kumbuka serikali haijainvest chochote kwa hawa watu sio umeme ,maji wala barabara nzuri maana haziruhusiwi kule sasa hata hicho kieneo wanataka wawanyime wawape kwa masharti tu si kuwapa kejeli na dharau!hapa duniani tunapita tu hatujaja weka mizizi.serikali hii ijiangalie .
 
Tukiweka siasa pembeni ni kuthamini utu, hakika serikali haitawapuuza hawa jamaa maana njaa ni njaa kweli, watoto wanaonekana kudumaa n.k Serikali ya CCM isingoje uchaguzi kama ule wa Igunga kusudi wapeleke msaada wa chakula, anayekujali kwa dhiki ndiye rafiki mwema!
 
Ndugu yangu Kurunzi. Unayo yasema ya utz ni sawa idadi ni sawa na life style ya ndugu zetu wamasaai imebadilka. Nchi hii inafanya Sensa mara kwa mara na tafiti pia. Sasa wahusika walitakiwa walione hilo mapema nakulipatia ufumbuzi badala yakusubiri mpaka watu waandamane. Pia kumbuka ngorongoro inaingiza pato. Sehemu ya hilo pato ilitakiwa litumike kwaajili ya kupatia ufumbuzi wa mabadiliko hayo, badala ya kutumia kuhatarisha amani na usalama wa wamaasai na wa tz kwa ujumla
 
Kagasheki aache majivuno. Kali chafu za viongozi wa serikali ndizo zinazosababisha nchi isitawalike

SIJUI LIHAYA LA AINA GANI HILI, WAHAYA TUNa SIFA YA KUWA NA HURUMA, UTU, UKARIMU, UPOLE NA KUSIKILIZA VILIO VYO WENZETU,

AIBU KWAKO PEKE YAKO KAGASHEKI, WAHAYA HATUKO IVYO, TUNA MBWEMBWE TU ZA HAPA NA PALE LAKINI WEWE UNATUHAIBISHA
 
nikitoka ntwara naelekea ngorongoro, hii Ndio dawa ....
 
Kiburi cha Waziri Balozi Kagasheki itatuweka pabaya katika tasinia ya utalii. Kikwete achukue hatua!

Hamis Kagasheki hayuko peke yake, tumeshagundua kuna mtandao wa mawaziri kadhaa na viongozi wengine waandamizi ambao wamepania kummaliza JK na legacy yake kisailensa,eti they are fighting the system from within! Let's see how this strategy unravels, yetu macho!
 
Jamani haya mambo yanazungumzika, Wahusika kaeni mjadili tuokoe utalii wetu, urithi wetu wa vizazi vijavyo.
 
Vikao vinaendelea huku umasaini kama kawa! Ngojeni tarehe moja! She!
 
Ndg unapanswa kutambua kuwa Tz na vyote vilivyopo n vyetu na vizaz vijavyo vya watz. Miaka hyo wakat wanaruhusiwa kulima kando ya hifadhi idad yao ilikuwa ndogo sn na ivo hawakuathiri kitu. Wakat huo walikuwa na mifugo mingi ivo hawakuwasumbua wanyama. Leo wamasai wa ngorongoro n wengi na wakiruhusiwa kulima ngorongoro itakuwa hatarin kutoweka. Je, wewe upo tayar uone ngorongoro inafanywa makaz?
Umefuatilia kinachoendelea huko? au ndio kama kawaida yetu waTZ kutoa maelezo bila hata kujua undani wa issue yenyewe.

Kwa hiyo unashauri serikali ifanye nini kutatua hili tatizo ili kuwe na win-win situation kwa watu wa ngorongoro na serikali?

Ngorongoro Conservation Area Food Crisis 2012 - YouTube
 
Back
Top Bottom