A M. Lyimo
Member
- May 27, 2013
- 50
- 27
Waishio Dar es Salaam na Pwani. Inakufahamisha mkutano wa wanachama wote na ambao bado awajawa wanachama waje wajiunge. Mkutano utafanyika tarehe 05/01/2014, Siku ya jumapili, Moshi hotel, Mazense tip top. Mkutano utaanza saa 8 kamili mchana mpaka saa 11 jioni. Ukisoma ujumbe huu, mfahamishe mwana Chemba unayemfahamu aishie Dar na Pwani.
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na
mwenyekiti kwa No. 0765141939,0783868660
Mimi katibu No. 0718549065
Karibuni sana, umoja ni nguvu.
Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na
mwenyekiti kwa No. 0765141939,0783868660
Mimi katibu No. 0718549065
Karibuni sana, umoja ni nguvu.