kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,151
- 16,139
mkuu wembe huo upo kwenye kichwa cha mwenzio, unatakiwa utie kichwa maji!Donald Trump ndiye atakuwa Rais wa Marekani. Sijui mtaenda kulia lia wapi kwa maana dunia sasa inawataka marais wa aina ya Magufuli
Walilie upate ukimbizi wa kwenda huko huko, ukapate butamu!Tangu serikali ya awamu ya tano imeingia madarakani,imeonekana kufanya kazi ya kuzuia wanasiasa wa upinzani wasiendeshe shughuli zao za siasa za majukwaa kwa kisingizio cha usalama mdogo,baada ya uchaguzi mzee wetu alitaka kuzunguuka nchi nzima kuwashukuru wananchi kwa kuonyesha mahaba na kumpatia kura lakini kupitia waziri mkuu lilitoka tamko kusitisha shughuli zote za mikutano ya kisiasa mpaka hali ya usalama itakapo kaa sawa,sasa hapa ndipo ninapoona kama jumuiya ya kimataifa kama nayo imetutenga na tunayofanyiwa ni sawa hapa kuna mabalozi wa ulaya,baba wa demokrasi amerika, lakini hawatoi tamko lolote kukicha wanakwenda ikulu,pili suala la bibi tulia kuanza kuwanyanyasa wabunge wa viti maalumu upinzani akaona haitoshi akabana upinzani wote na kuwafungia vikao,tatu kuzuiwa kwa mahafali ya chaso,kubwa zaidi ni hili tamko la mwisho raisi alilopiga msumari kuwa hakuna kufanya shughuli za kisiasa wakati vyama vya siasa kazi yake ni siasa.
Ina maana jumuiya ya kimataifa haioni,mabalozi wa kupigia kelele demokrasi au ni sawa upinzani kuonewa ili hali jumuiya za kimataifa zipo?
Ingekuwa uchaguzi ukiisha vinafutwa vyote!Wakati wa siasa umekwisha huu ni wakati wa kuchapa kazi India porojo zako hapa.
Lizaboni bila shaka nawe kazi yako mitandaoni itakuwa imekwisha vyama (UKAWA) wakinyamazishwa kama mnavyokusudiaDonald Trump ndiye atakuwa Rais wa Marekani. Sijui mtaenda kulia lia wapi kwa maana dunia sasa inawataka marais wa aina ya Magufuli
Kazi zipi? Kipindi cha kampeni ofisi zilifungwa? Miaka 50 yote amna maendeleo unajidanganya hii miaka mi5 tutapata maendeleo? Sio Africa labda ingekua Ulaya.Wakati wa siasa umekwisha huu ni wakati wa kuchapa kazi India porojo zako hapa.
wangeonyesha basi hata huo unafiki kidooogo!usiziamini hizi jumuiya za ulaya kamwe. ni wanafiki kwelikweli...
Trump amesema wazi kuwa Africa needs to be recolonized. Anasema wananchi wa kawaida wa Afrika wanagandamizwa na viongozi madikteta Waafrika wenzao. Maana yake ni kuwa Afrika inahitaji viongozi wazungu waje wawatawale Waafrika ili kuwalinda wananchi wa kawaida wanaonyanyaswa na watawala wao. Ameenda mbali na kuwataja baadhi ya watawala wa Afrika ambao yeye Trump akiwa Rais, lazima awachukulie hatua. Jambo la muhimu ni kuangalia na sisi tusiingizwe kwenye hiyo orodha ya tawala dikteta.Donald Trump ndiye atakuwa Rais wa Marekani. Sijui mtaenda kulia lia wapi kwa maana dunia sasa inawataka marais wa aina ya Magufuli