Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,138
- 7,398
Jumong ni balaa..ni nzuri sana
Hivi humu ndani kuna watu wanao tazama jumong?
Ni tamthilia nzuri mno ya kikorea, na inahusu siasa zaidi kuliko kingine. Natamani wana jf wote wawe wanatama jumong, ina fundisha vitu vingi sana, kama ujenzi wa taifa nk,
Nimempenda sana Ye Soya! Ameonesha uaminifu sana kwa Mumewe Chumong,kama mnakumbuka Chumong alimkatia kipande cha sword na kumuachia na yeye akabaki na kingine kama alama ya mtoto wake Yuri atapokuwa mkubwa.Uaminifu wa aina hii jamani inavutia sana yaani miaka kumi na tano Ye Soya bado anamkumbuka Mumewe siyo mchezo!
Nimempenda sana Ye Soya kwa kweli,ame act vizuri sana eneo lake na vilevile ana mvuto! Hahahaha!!
Kichwa kile...Tamthilia nzima hakuna mtu kama yule Waziri Mkuu.
Yule ni balaaa sana sijapata kuona
Wanajua wanachokifanya!Tamthilia nzima hakuna mtu kama yule Waziri Mkuu.
Yule ni balaaa sana sijapata kuona