Jumba la kifahari linauzwa bei powaaaa!

Jumba la kifahari linauzwa bei powaaaa!

Utafikiri ile rangi ya madaktari wakiwa thieta

recipient-operating-theatre1.jpg

dah... Rangi kweli ni tatizo, but uzuri ni kuwa inaweza badilishwa
logo.png
 
ufahari wa hii nyumba upo wapi...kwanza inabidi wajifunze kupaka rangi zinazovutia...sio hizo rangi za mashuka ya Boarding School

Pia iko too plain haina style, lango la kulazia gari baya limetengenezwa kwa mabati ya mapipa. haitsahili kuitwa 'jumba la kifahari' ila naiheshimu, nyumba ni nyumba.

Shida kubwa ya sisi waswahili huwa ni finishing, kwa mfano angalieni fanicha zetu zinavyotengezwa ndio mtanielewa vizuri ninachosema.

Samahani sio nia yangu kudharau nyumba hii ila ingewekewa kuuzwa hata kwa zaidi ya beu hiyo kama ingekuwa na touch of style kidogo tu.
 
Jumba bado lipo rangi tunabadilisha tunaweka nyeusi na vigae tunapaka rangi nyekundu mnasemaje wadau?
 
Hapo ndo pamenikwaza, ingekuwa kwingine tungeongea, hiyo bei si mbaya.
Hata rangi kitu kidogo ,si unapaka unayoipenda?
mmmh! siku ukipata muda twende okaone labda unamtazamo tofauti na eneo hilo pengine ni simulizi tu zikasababisha m2 usipende eneo lkn kama umewahi ishi na ukaona pabaya labda. binafsi nimeona ni eneo zuri sana kuishi
 
bado siku chache Jumba litakuwa limechukuliwa yamazungumzo ya bei yanaendelea , bado wadau mnakaribishwa
 
sasa siku za njumba zinahesabika karibu litachukuliwa ila hujachelewa lete offer yako
 
Biashara bado ipo :glasses-nerdy: mnakaribishwa
 
bei siyo issue issue ni location,mbagala ina historia ya matukio mabaya achilia mbali foleni mimi mwaka 2000 tulipewa viwanja na ofisi vilivyo pimwa kwa laki ,niliamua kumzawadia ndugu yangu hicho kiwanja
 
Hizi bei zetu hizi, bora ije bodi ya ku regulate! Nashangaa mpaka nhc nao wanalangua!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom