Mwalimu Nyerere ndiye rais aliyewapenda sana watanzania tutamukumbuka daima wengine tunamuachia mungu tuUkiondoa Baba wa taifa ambaye aliondoka IKULU akiwa ajaiba hata sent ya umma wala kuwaumiza Watanzania kwa maslahi yake
Pia Rais Mwinyi amabaye alifanya mambo makubwa kujenga uchumi wa nchi.
Mkapa aliingia kama Rais mzalendo sana na aliyeaminika lakini alikuja kusababisha ufisadi mkubwa kwenye serikali yake.
Kikwete vile vile ufisadi
Magufuli naye baada ya kuingia IKULU aliwageuka mpaka wale waliomuwezesha kwenda Ikulu.
Sasa naona kabisa Samia ameshatugeuka kabisa alituambia hapendi kodi za dhuruma lakini angalia ndani ya miezi 3 tu kashasaliti kauli yake .
Haya makodi aliyakataa kwa maneno yake ila ndio anayatekeleza ndani ya miezi 3 tu.
Najiuliza IKULU yetu ina nini Toka mwaka 1995 Marais wote uwa wanasahau watanzania wakishaingia kwenye ilo jumba.View attachment 1870637View attachment 1870643
Hasa neema ikiwaangukia ndio hawapendagi shida hata tone.Mswahili huyu akaishi kwenye shida hawapendagi shida hawa!
Nitajie sehemu ambayo mazao yameshindwa kufika sokoni kwa sababu hakuna barabara ya lami?Bibi yako kijijini akipata pembejeo akalima mazao yake atayapitisha wap kuyapeleka sokoni???
Vipi bibi yako kijijini akiiumwa akahitaji hudumaa ya haraka kuhammiishiwa hospital kubwa??
Anyway hii nchi ina matatizo makubwa sana
Zitamsaidia kusafirisha mazao kwa haraka akishapata pembejeo, zitasaidia wengine wawahi hospitali, zitasaidia huduma kufika kwa haraka ...Bibi yangu kijijini anaitaji Maji safi ,huduma nzuri za Afya ,bei ndogo ktk pembejeo za kilimo
Bibi yangu kijijini haitaji barabara za lami coz hazimsaidii chochote
Sawa. Lakini analipa kodi inayojenga hayo madaraja na barabara za lami. Akinunua sukari, sabuni, mafuta ya kula nk analipa kodi!Bibi yangu kijijini anaitaji Maji safi ,huduma nzuri za Afya ,bei ndogo ktk pembejeo za kilimo
Bibi yangu kijijini haitaji barabara za lami coz hazimsaidii chochote