Jumatatu ni sikukuu ?

Jumatatu ni sikukuu ?

Kuna UVUMI kwamba J3 ya wiki ijayo ni holiday sababu ni kuendeleza sherehe za miaka 50 ya Muungano,

kwenye taarifa zaidi tafadhali atufahamishe
 
NInayo kalenda ya Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA) ya mwaka huu, inaonesha JUmatatu ni sikukuu (Union Celebration). Kalenda nyingine hakuna kitu kama hicho. Ngoja, JK anazungumza sasa, anaweza kutangaza mapumziko. Dalili zote zinaonesha hivyo, hasa ukizingatia Watanzania tunavyopenda kulala!
 
Ah...ingeangukiaga j2 banaa j3 tungelala tu (si tumechoka kushereheka)jk wouldn't have an option! Hahaha wavivu sieeee..;-)
 
kuna tetesi ni mapumziko, ITV wamehabarisha. Naanaglia kwa twitter/FB pages zao hakuna kitu bado. Ila ita make sense ikiwa holiday.
 
NInayo kalenda ya Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA) ya mwaka huu, inaonesha JUmatatu ni sikukuu (Union Celebration). Kalenda nyingine hakuna kitu kama hicho. Ngoja, JK anazungumza sasa, anaweza kutangaza mapumziko. Dalili zote zinaonesha hivyo, hasa ukizingatia Watanzania tunavyopenda kulala!

Mkuu bora Manywele Meupe awe prezidaa.
 
NInayo kalenda ya Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA) ya mwaka huu, inaonesha JUmatatu ni sikukuu (Union Celebration). Kalenda nyingine hakuna kitu kama hicho. Ngoja, JK anazungumza sasa, anaweza kutangaza mapumziko. Dalili zote zinaonesha hivyo, hasa ukizingatia Watanzania tunavyopenda kulala!

Weka picha ya hiyo Calendar!!
 
Huu ni ujinga wa hali ya juu sana-Ni upuuzi!!!!!
 
oleeeeee, bata zinaanza leo mpka j.3, naipenda tanzania tunapenda starehe kuliko kazi.
 
NInayo kalenda ya Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA) ya mwaka huu, inaonesha JUmatatu ni sikukuu (Union Celebration). Kalenda nyingine hakuna kitu kama hicho. Ngoja, JK anazungumza sasa, anaweza kutangaza mapumziko. Dalili zote zinaonesha hivyo, hasa ukizingatia Watanzania tunavyopenda kulala!

Daah bora iwe sikukuu tu nipunguze siku maana j3 natakiwa niwe T.O.D c mchezo kukamata late comers na noise makers.
 
NInayo kalenda ya Tanzania Minerals Audit Agency (TMAA) ya mwaka huu, inaonesha JUmatatu ni sikukuu (Union Celebration). Kalenda nyingine hakuna kitu kama hicho. Ngoja, JK anazungumza sasa, anaweza kutangaza mapumziko. Dalili zote zinaonesha hivyo, hasa ukizingatia Watanzania tunavyopenda kulala!

Watuache tulaleeeee aiseeee
 
Muugano wenyewe una nyufa kibao, sasa ndo tusherehekee hivo!
 
Daaah na tunavyopenda kutafuta muda wa kupasua papuchi na bieere, walaaaaahi
 
Back
Top Bottom