Jumatano ya majivu

Napenda kuwatakia wakristo wenzangu wote wa JF Jumatano njema ya majivu.
Kwarezma njema wapenzi
Mr





Ahsante Maria Roza...
Nakutakia nawe Jumatano ya Majivu Njema na Kwaresma njema..!
 
Last edited by a moderator:
asante kwa kutukumbusha, ubarikiwe sana kwaresma njema
 
Asante sana MR,

Wengine tulikuwa tumeshasahau, tunamshukuru Roho wa Mungu aliyekukumbusha.

Glory be to God.
 
waoo, thanks very much Maria Rosa, God bless you.
Kwaresima, ni veema KUFUNGA, KUSALI NA KUTOA SADAKA
kufunga sio lazima chakula......kuna mengi, let us ask God to help us work on our weaknesses during the 40 days of Lent ; click to Visit Neno la Faraja


Napenda kuwatakia wakristo wenzangu wote wa JF Jumatano njema ya majivu.
Kwarezma njema wapenzi
Mr



 
Last edited by a moderator:
Thanks Maria Roza....will go this evening....
 
Asante MR.

Mi tayari nshapaka majivu hapa St Teresa Arusha.
 
Aaamen wapendwa katika kwana inueni mioyo yenu tumuuungamie Mungu dhami zetu!

Mimi ni bwana Mungu wako, usiabudu Miungu mingine ila mimi.
Waheshimu baba na mama yako, siku zako zipate kuwanyingi.
Usiue
Usidhini
Usishuudie uongo
------.
Mungu kwetu sisi ni Kimbilio la nguvuu!
 
Mateso yake bwana YESU yalitokana na dhaambi zetu.... dah hii nyimbo inanikumbusha mbaaali sana na hiki kipindi ni muhimu sana kwetu sisi wakristo. Ahsante MR aka ticha kwa kutukumbusha, MUNGU akujaalie na akupe siku njema

Guud response!
Ila mkuu kama kweli wewe ni mkristo na unatambua Yesu alifia msalabani kwa sababu ya dhambi zetu basi inatupasa tusitende hizo dhambi kwa makusudi au kwa kujisahau kwamba tunakosea. Au sio??
Unaonaje ukibadilisha hii Avatar ili tusamehewe dhambi zetu kwa dhati??

 

Heshima kwako CPU ni km vile umeingia akilini mwangu nilopoona post ya MR kuhusu kwaresma nikawaza sasa hii avatar yangu inabidi niibadili so mkuu mpaka kesho saa sita ntakuwa nimeisha ibadili. hiyo avatar iliwalenga wote waliochakachua matokeo ya DR wetu wa ukweli na Polis na CCM wote walioua ndugu zetu pale ARUSHA.
 

Mwanafunzi hulali weye!! karibu maji ya uzima
 
naomba nikupe rasmi kazi ya kumtafuta manake roho inauma sijui nani kamtorosha jamani.....

Aah sawa nitaifanya ilamie nilidhani unanipa cheo cha kuchukua nafasi yake!!!
aahh nimekumbuka tupo kwenye majilio :decision::decision:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…