Jumatano natakiwa nikapime UKIMWI, confidence zero


Utuletee mrejesho mkuu
 

Mh duh maandaliz yote hy unazalisha
 
Nimeshawahi kupima mara nyingi,ila mwaka jana nlikula nyama ambayo nliambiwa sio salama,tangu August nahairisha kwenda
 
Duh! Mimi namfikiria maria,picha ya Amina inagonga ubongo wangu,kuna mwingine sikumbuki jina lake ila nilipita,mara mbili,baadaye nikaambiwa kuna muhuni aliyepita naye sasa hivi yupo kitandani,ubongo haujamaalizana na hao,mara namkumbuka mwingine,na mwingine,namwingine,na---------------Duh! Mi sipimi! Nyie nendeni tu mkirudi mnipe story.
 
Angalia tu usije kuwa kama yule kijana wa PT kayakwaa huyo fasta kachukua kitu kafanya yake
 
Ulipiga peku
 
Kweli cheti hakuna.......nisamehe.....
Ila weka picha ya kistripe.......najua ulikipiga picha.........
Cheti hamna ila kuna kale kakaratas unaandikiwa majibu yako hiyo pia hupewagi?
 
Staki hata kuambiwa habari za kupima. ..

Nitapima dawa ikigundulika
 
Bs achana nae mkuu km hutaki kupima
 
mpka karne hii bdo kuna watu wanaogopa hako ka ugonjwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…