Jumapili ya Matawi

Jumapili ya Matawi

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,444
Reaction score
2,703
Habari zenu wandugu, unaweza kuipatia maelezo (caption) picha hii!?
Christians march during a procession to commemorate Palm Sunday at Rubaga Cathedral.  Mr Geoffre.jpg
 
Jamani, ushasema ni Jumapili ya Matawi. Hakuna zaidi. hicho kipara ni fasheni tu
Bora umeona hicho kipara lakini wanasema kuna kitu kilifuatia baaba ya hii picha, ni kutaka tu kujua uhalali wake.

 
View attachment 239181
Wakristu wakiungana kuandamana kusherehekea Jumapili ya Matawi katika Kanisa Kuu la Rubaga. Miongoni mwao alikuwa Ndg. Mr Geoffrey Iga, kijana mwenye ndevu ambazo hazijanyolewa siku nyingi ambaye baadae alishikiliwa na kuhojiwa na polisi baada ya baadhi ya Wakristu kumhisi kuwa ni gaidi.
 
kusoma zaidi >>>chanzo
Hebu angalia kwenye hii picha vizuri ni jinsi gani kila mmoja wao ana mashaka naye hadi watoto wadogo! Inachekesha kweli.
 
..msafara wa mamba kenge/mijusi nayo imooo.....UMDhANIAYE kuwa siyeeee
 
Teh teh teh naona wanamkata jicho kiaina.

Natoa rai,Yesu siku ya kurudi(kama ipo) apitie saluni.
 
Teh teh teh naona wanamkata jicho kiaina.

Natoa rai,Yesu siku ya kurudi(kama ipo) apitie saluni.
Hoja yako ni ya msingi NDAGLA, wote tunamngojea lakini na kuomba usiku na mchana lakini hakuna anayejua akitokea atakuwa katika muonekano gani.
Kumbuka alivyosema kuwa 'nilikuwa na njaa hamkunipa chakula, nilikuwa uchi hamkunivisha', na ndio wakaanza kushangaa kuwa waliwahi kumuona wapi!?
 
Back
Top Bottom