Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Na bado.Kazi ipo
Funguka mkuuCommon interests!
notushenene anga akamwanyi. bagira mayo!Mandhari waliyopo inapendeza na kuvutia, kwa mikao waliyokaa hata mioyo yao imetulia japo hawana vinywaji.
Halafu wote hawana watotoMandhari waliyopo inapendeza na kuvutia, kwa mikao waliyokaa hata mioyo yao imetulia japo hawana vinywaji.
notushenene anga akamwanyi. bagira mayo!
Halafu wote hawana watoto
Anasema habari yako yaliyomo yamo??Translation please. ....
Anasema habari yako yaliyomo yamo??
Hehehehehehee Laigunian umeanza lini usanii?
Hicho sio kimasai..... nimeona neno mayo I doubt ni kisukuma, kinyamwezi, kihaya au kinyarwanda.
Hii translation yako ni ya kutokea wapi?
After all I missed you. .....
Haha nimeona unapekecha macho pasipo kujua maana nikaona nikusaidie kubuni..
I'm missing you too.. hope you're doing well there.