Leo katika historia Ilikuwa Jumapili iliyopita tu

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Wahenga wana kauli yao wanadamu tumeumbwa kusahau na siku hazigandi huwezi kuamini ni Jumapili iliyopita tu Simba alikua vyuma vitano(5).

Ilikuwa ni Jumapili ambayo hakuna mwanasimba yeyote yule anayetaka kuisikia, ilikuwa ni Jumapili ya miujiza na Jumapili tamu zaidi kwa Yanga Africans.

Kumbe wanaYanga walikua wanatembea na kisasi chao tu cha miaka kadhaa nyuma karibia Muongo mzima na siku waliyopanga kulipa kisasa chao ni Jumapili ya tarehe 5.5.2023 kuanzia majira ya saa 11 jioni na kweli kama utani Simba alitegewa mtego naye bila kufahamu ni mtego akajaa ndipo alipokutana na kichapo kizito mnoo.

Ni jumapili ambayo mgeni rasmi alikua Kibu D ila ajabu hata kabla ya mpira kwisha ni mgeni rasmi yule yule aliyekua hoi bin taabani na kushindwa kuendelea na kipute, ni siku ambayo Manula alijuta sana kwanini alikutana na ile mechi.

Hakika ilikua jumapili taamu sana kwa wanayaga ilikua jumapili ya Ally Kamwe huku mwenzake Ahmedy Ally akiwahi sana kulala jumapili ile sidhani hata kama alimaliza kuangalia ule mpira.

Kwa kuadhimisha siku ile Jumapili ya leo Wanayanga wote wamekutana kunywa supu na kula nyama uzuri hata wana simba wao wameshika mabakuli wakionyesha furaha zao ya utamu wa nyama na Supu Murua.
 
Wahenga wana kauli yao wanadamu tumeumbwa kusahau na siku hazigandi huwezi kuamini ni Jumapili iliyopita tu Simba alikua vyuma vitano(5).

Ilikua ni Jumapili ambayo hakuna mwanasimba yeyote yule anayetaka kuisikia, ilikua ni jumapili ya miujiza na Jumapili tamu zaidi kwa Yanga Africans.

Hatari sana.
 
Nyie kweli kiboko wiki nzima mnashangilia hadi mnalishwa supu ya vibudu wa ng'ombe wa kafara. Kuna jirani yangu kaenda kufakamia supu ya vibudu jana huko utopoloni usiku katuamasha anaharisha na kutapika mchana huu kapelekwa ICU. Ng'ombe hawakupimwa na daktari wana kimeta.
 
Back
Top Bottom