Jumapili njema JF...

Ni kweli....wewe vipi huendi au utaenda misa ya watoto? maana naona muda unaenda na wewe bado umekomaa na JF Hahahahaaaaaaaa

Mie nilitangulia kwenda Ijumaa mkuu...
 
Mi mzima dia.. Nimeamka so fresh as usual! Leo church hakuna mahubiri yaliyokugusa?
Happy to hear uko poa....
Church mahubiri yamenigusa sana....padre anasema tumtumikie Mungu kwa maisha baada ya kifo...Tukumbuke hakuna anayeishi duniani kwa miaka mingi....lazma tutakufa tu so je tukifa tutaenda wapi???? Tafakari Chukua hatua Amy...
 

Mh..kweli lakini.. Wakati mwingine tunajisahau sana..
 
Mh..kweli lakini.. Wakati mwingine tunajisahau sana..
Sana ila Mungu hanaga shida na mtu...ukimkosea ukamrudia anakusamehe kabsaaaaaaaaaaa na hakumbuki ya nyuma
 

sio ndio umeamka kweli???
maana jana niliona post zako ukibadili nyt clubs aise...
 
Kama ukitudia kwa makusudi hakusamehi...basi hakuna ambaye angeiona mbingu coz dhambi nyingi ni za kujirudia tena makusudi

wengine hatuelewi mpaka mfano...tupe hapo...
 
wengine hatuelewi mpaka mfano...tupe hapo...
Mtakuwa na macho lakini hamtaona..mtakuwa Jf lakini hamtaelewa...the
Ngoja namalizia kula Bagah yangu then ntakupa upako
 
aya ricky kula tu...ungejua maana ya hili jina hata usingesema "unakula bagah"...ppprrrriiii
 
aya ricky kula tu...ungejua maana ya hili jina hata usingesema "unakula bagah"...ppprrrriiii
Hahaaaaaa hakuna kitu...mi nakula tu...mbona kuku na nguruwe wanakulaga hadi mafi sembuse mimi Kula zangu bagah...lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…