Jumapili njema JF...

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
2,181
Reaction score
410
Naimani wengi mtakuwa mmeshaenda na wengine wanajiandaa kwenda kwenye nyumba za ibada(kanisani),
Mtaly nawatakia Jumapili njema na yenye baraka, God bless you...
 

Attachments

  • Jpl..jpg
    49.1 KB · Views: 94
aise...safi sana...
wenyewe wanasema UMENIBARIKI...
najiandaa kuingia ibada ya pili...CCT chaplancy!
 
amina ndio tusharudi kanisani sasa hivi na wewe umeenda au unaishia kupost tu..
 
Mtuombee sisi wakosefu watoro wa kanisani!

SI unit hakuna kuombeana hapa! kwa mtu km ww umegundua u mkosef...
piga mwanangu sala hata hapo ulipo mbona mzuka tu... tehee...
 
amina ndio tusharudi kanisani sasa hivi na wewe umeenda au unaishia kupost tu..

siku hizi kuna watu na BB zao kanisani...
inawezekana huyu anapost akiwa kanisani...lol
 
aise...safi sana...
wenyewe wanasema UMENIBARIKI...
najiandaa kuingia ibada ya pili...CCT chaplancy!

Ubarikiwe mkuu... Usisahau kuwaombea wenye matatizo mbalimbali, wagonjwa na hata wazima lakini hawakufanikiwa kwenda kanisani kwa namna moja ama nyingine...
 
Naimani wengi mtakuwa mmeshaenda na wengine wanajiandaa kwenda kwenye nyumba za ibada(kanisani),
Mtaly nawatakia Jumapili njema na yenye baraka, God bless you...

Asante sana,imekaa vzr nawe jumapili njema.Nakwenda KKKT .
 
Asante sana Mtalingolo kwa baraka zako za Jumapili....ndo nimetoka zangu misa ya kwanza niko zangu naangalia wana JF ambao hawajaenda church na walipaswa kwenda na hawakumbuki kuwa hii ni kwaresma na hata majivu hawajapaka hadi leo.....Nimewaombea woteeeeee
 

Ameeni, upendo wa kweli Hushiriki pamoja na kujitoa daima...
 
Ameeni, upendo wa kweli Hushiriki pamoja na kujitoa daima...
Ni kweli....wewe vipi huendi au utaenda misa ya watoto? maana naona muda unaenda na wewe bado umekomaa na JF Hahahahaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…