Jumanne Ngoma: Mgunduzi wa Tanzanite anayetaabika

Hatimaye mzee kazikwaa 100m!

Bado haina thamani ya alichokigundua. Alipaswa kulipwa % fulani ya mauzo ya hayo madini mpaka afe. Pesa kitu gani hasa hiyo 100m? Wote tunajua hela zinavyoweza kutumika ndani ya muda mfupi na zikaisha. Mfano marais na mawaziri wakuu wastaafu wanalipwa mpaka kufa kwao. Kwanini wasingelipwa wangalau 2b kisha wakaendelee na maisha? Inafahamika wakifanya hivyo watadhalilika.
 
Mzee alipitwa wakati tuu. hakuwa na uwezo wa kiakili wa kutosha fanikiwa.Amekuwa sana ktk hii michezo ya kulalamika akisubiri serikali.MIaka hiyo mererani ilikuwa pori tuu watu walikuwa akijichimbia madini kienyeji.Watu walikuwa wakienda na mahindi na maharage km jeshini vile na watu walipiga hela sana watoto wa masikini wasio na ndugu wala nini.Yeye ngetaka hata kitalu bure angepat.Sasa CCM wanamuuza km bidhaa au mnyama ktk zoo.
 
Story haijakaa sawa.Haiwezekani wasomi wa hii nchi wasiwe wanajua Tanzanite halafu wasijue ipo ktk group gani ya madini na bei ya madini ambayo yapo ktk hiyo group. Akili zao hazikuwatosha ndio maana leo anauzwa ktk zoo ya ccm. Miaka mingapi hadi leo hajui km madini yana thamani.Miaka ya 80 angerudi kule angekuwa kitalu cha bure kabisa.
 
Kugundua ni kitu kingine na kumiliki ni kitu kingine huyu mzee wala si wa kulaumiwa hata mara moja.
 
Nimecheka sana. Giving 5kg of tanzanite to kenyans businessmen with an exchange of a back home ticket worth 5 USD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…