Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,988
- 69,380
Aisee kumbe huyo ndio Mr Tanzanite
Lakini pia ni vizuri tujue naye Fadhili aliingiaje hapo? coz naamini lazima kuna kitu kilipelekea kufikia huko.Hi inasikitisha sana. Lakini ndiyo TZ yetu ilivyo. Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita Mtunzi wa mziki wa Malaika alikuwa akitaabika vivyo hivyo katika kufuatilia haki zake, na aliiomba serikali imsaidie ile yule Fadhili Williams( Mkenya) asile jasho lake.
Guess what, hakuna hata mtu aliyekuwa akimwangalia mzee wa watu. Alikuwa na ushahidi wote, na hata huyo malaika mwenyewe (aliyemtungia huo wimbo) alimtaja na kuonesha aishipo kama sikosei Arusha (wakati huo).
Na ilisikitisha sana kwani Fadhili Williams ailikuwa analamba Millioni 2 na nusu kwa mwaka ati royalities!!!, wakati mzee wa watu akiishi nyumba ya mbavu za mbwa.
Mtu wa Pwani
- Juzi mtoto wake wa kike alikuja ofisini kwangu nikaongea naye kwa muda mrefu sana on the ishu, for sure imenitoa sana machozi nimeamuahidi kumsaidia as much as I can, this is sad na ni lazima nikubali kwamba ni moja ya mapungufu makubwa ya Serikali ya chama changu lakini uzuri ni kwamba ni Serikali sikivu sana!!
Le Mutuz
Mkuu kama kweli utatekeleza kama ulivyohaidi basi mungu akupe nguvu na busara ili umtimizie huyo mtoto ulichomuhaidi.Mtu wa Pwani
- Juzi mtoto wake wa kike alikuja ofisini kwangu nikaongea naye kwa muda mrefu sana on the ishu, for sure imenitoa sana machozi nimeamuahidi kumsaidia as much as I can, this is sad na ni lazima nikubali kwamba ni moja ya mapungufu makubwa ya Serikali ya chama changu lakini uzuri ni kwamba ni Serikali sikivu sana!!
Le Mutuz
wewe ni nani?Mtu wa Pwani

Serekali inatakiwa imsaidie. Naona ana mtoto very courageous ( kutokana na muonekano wa kwenye picha) afanye kazi hiyo kumtafutia baba yake haki yake.Wandugu wapendwa issue hizi ni Za kisheria Na sio Kama story au siasa.
Williamson walivyogundua hiyo almasi walisajili hiyo kampuni Na kujihalalishia uchimbaji wa Almasi sehemu hiyo ya mwadui, Na si kwamba Ana haki Na Almasi yote ilioopo duniani au Tanzania in particular.
Kuhusu huyo j4 anayedai kwamba ndio aligundua hiyo tanzanite, nasikitika kusema hakujimilikisha sehemu zote zinakopatikana tanzanite wala hakusajili hiyo patent ya tanzanite. Sasa Kwa mfano eneo lake wakati ule la machimbo ilikuwa ekari nne, sasa tanzanite itakayo patikana nje ya eneo hilo si yake, Na kuhusu mrahaba pia inawezekana ado pâté maana hukusajili huo ugunduzi.
Tatu historically tanzanite imekuwa ikichimbwa Na watu binafsi Na kuuzwa Kenya au locally kununuliwa Na watu ambao hupeleka Jaishpur bila kupitia njia zinazo fahamika. Kidogo mfumo Na soko lilibadilika baada ya kuingia Tanzania one ya South Africa lakini Bado uzalishaji wake haukuratibiwa vizuri sababu ya kutokuwepo Kwa uwazi Ktk huo mkataba na uzalishaji