A,alaykum Warahmatullah Wabarakatu. Nakutakieni ijumaa njema yenye furaha na neema. Wana JF wote na Watanzania kwa jumla. M/MUNGU atuondoshee balaa za duniani na akhera, atuepushie na adhabu ya moto. AMEEN.
Hazina tija kwako wewe tu, kama lilivyo jina lako. Kwa wengine zina maana tena sana. Kwa taarifa yako KABWELA hizo sio salamu, uliza ufahamishwe maana yake. Idiot.