Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
kwanini kwa Boko!
ndiye aliyekuwa akimkaba ! alafu acha maswali ya ki'ukawa !
kwanini kwa Boko!
Kwani kafanya kosa gani? Nilisikia kitu kama aligombana na John Boko uwanjani. Lakini sidhani kama hicho ndio kosa lake.
Kama kafanya hayo, nadhani hastaili kabisa kuwa mwanamichezo, mimi nadhani adhabu yake iwe
NI KUFUNGIWA KUCHEZA SOKA MAISHA ili iwe fundisho kwake na kwa wengine wenye tabia chafu kama zake.