Juma Nkamia yupo BBC anantetea posho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Juma Nkamia yupo BBC anantetea posho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by oba, Jun 29, 2011.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kuna mjadala wa posho bbc, Juma Nkamia na Zitoo wanapambana kwa mawazo, Nkamia anasema posho ziendelee kuwepo na ziongezwe kwani ni vihela kidogo na kwanza hazitoshi!
   
 2. O

  Omumura JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mpumbavu kabisa huyo,kwanza kihiyo mkubwa huyo nkamia.
   
 3. g

  graceirene Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nkamia kushindwa kutetea hoja yake kabaki kusema wanaopinga sitting allowance hawatembelei majimbo yao .
  My take wabunge wetu hawajui majukumu yao , kusema wanahitaji posho ili wawape nauli wapiga -kura wao linadhihirisha walichaguliwa kwa bahati mbaya
   
 4. B

  Baikoko Senior Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Angalao leo nimesikia ukweli wa posho, marupurupu na mishahara ya wabunge wa Tanzania. Hawa jamaa wako peponi (kama pepo ipo lakini). Nimeshindwa kupata ulazima wa kuwapa hela zote hizo. Kigezo hasa ni nini? Ni elimu, utendaji, CV, uzoefu,mazingira ya kazi au kwa vile ni mbunge-mwanasiasa? khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. k

  kituro Senior Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wanapewa hizo pesa za kula kwasababu waliomba kura (kula) hatimae wakapata kura zeno!
   
Loading...