zitto: mshahara wa mbunge ni milioni 2.3, na unakatwa kodi
posho ni milioni tano
kwa mwezi hiyo.
kamati zinakaa vikao 80 kwa mwaka + vikao mbalimbali vya bunge ambavyo ni elfu 70/80 kwa siku
wanapewa fedha kupitia mfuko wa kuendeleza jimbo+ mkopo wa gari
Nkami Juma ni mbunge kupitia CCM yeye anadhani ni kusoma taarifa redioni,huyu nae ni kilaza kumbe,sikujua kabisa nae ameshakuwa gamba mara hii,kumbe ukichukua kadi ya CCM leo tayari unavaa gamba la ufisadi na ubinafsi,kazi kweli kweli
chanzo cha kufukuzwa viongozi nchi za kiaarabu ni watu kukata tamaa
hii kitu kama marudio ivi
Nkamia ni kilaza la kufa mtu..alinitwanga shikamoo wakati anauwezo wa kunizaa ..
Mkuu posho ya vikao ni laki mbili kwa siku siyo elfu sabini! Rekebisha kumbukumbu zako. Posho ya kujikimu/DSA ndiyo elfu themanini kwa siku.