Namna hii kweli utegemee aipende JF... aaaahhhh wapi...View attachment 94823ADHA : MAJI
Mtoto Mariamu Mohamed wa Kijiji cha Mauno, wilayani Kondoa akichota maji katika korongo kufuatia uhaba wa maji katika eneo hilo. Picha na Shakila Nyerere
courtesy of Mwananchi
.Ndio maana anataka JF ifutwe ... Angekuwa na uwezo angelifuta gazeti la mwananchi pia... Huyu sijui ni mwandishi wa aina gani..
Akimaliza kuongea na mfuga mbwa Dodoma mjini atakuja kuongea na mbwa wa huko vijijini.
ndio maana anataka jf ifutwe ... Angekuwa na uwezo angelifuta gazeti la mwananchi pia... Huyu sijui ni mwandishi wa aina gani..
Huyu Juma Nkamia ameenda bungeni kutukana na sio kusaidia wapiga kura.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
kamwe hawezi,ni mganga nja tu!!!!namna hii kweli utegemee aipende jf... Aaaahhhh wapi...