Kwaiyo haishangazi sasa,
Anashabikia upuuzi wa katiba ya ajabu ajabu inayopiganiwa na chama chake,
Baadae uozo ukipita aanze kusema alikua anafanya hivyo kwa bahati mbaya ili aonekane mwema kwa CCM na ili watoto wake waende chooni,si ndiyo?
Katiba ni maisha yetu,hatuwez yachezea kama anavyofikiria yeye Nkamia Tumbo,jinga kabisa hilo