Juma Nkamia ni mnafiki

Kumbe yuko bungeni kwa maslahi ya watoto wake!naamini bado wako shule!pia naamini hayo anayoyasema bungeni ni prppaganda alizolishwa na chama chake ili atetee ugali wa watoto!
Hopeless!
 
Mimi toka adanganye wanachi wa Kwamtoro na farkwa na kuipa Chemba makao makuu ya wilaya nilimlaani.
 
amejivuwa nguo.....ameonyesha alivyo mchumia tumbo.
 


Dhambi ya propaganda za waliokufa Iraq inamsuta
 
Na anavyo wasaidia warangi waliomua erasto msuya yeye na hussein gonga ndio hiyo tabia ya kuganga njaa?
 
Damu ya propaganda inamsuta,si ametangaza Bungeni alishiriki kufanya propaganda akiwa BBC na watu wakauwawa Iraq
 
Du ameamua kujivua nguo? Hivi hajui kuwa anaidhalilisha familia yake?
 
hivi BBC hawawezi kumshataki kwa kuidhalilisha media yao? ngoja tuone mwisho wake
 
Hivi wabunge huwa hawapati public speaking skills?, nakumbuka hii kitu nilikuwa nafundisha ktk General studies huko A-Level. Yaaaaaani ni aibu iliyoje kwa mtu mzima kama Juma Nkamia kuongea upuuzi kama huu.

Hii inaonesha dhihirisha kuwa Juma Nkamia kusio MP makini. Huyu ni mmoja wa MPs wa hovyo hovyo. Ni mropokaji mpaka anaibisha
 
Kama wanavyotoa majibu wao kwa wenzao...ATAKUWA NA WIVU WA KIKE...awaache wenzake nao wasomeshe watoto wao...Ila akumbuke pia kuwa wenzake hawafanyi propaganda ila ni ukweli mtupu kwani tumeona kile kinaendelea BUNGENI .Asiwatishe ni mtupu kuliko galasa...hakuna ameongea cha maana zaidi ya kuimba taarabu tu...POOR MP...
 
...Kila afanyae ovu hata liwe dogo vipi atalipwa siku ya Qiyama...- Qur an Kareem, Nkamia jipange kwa swali hilo nimeshakvujishia mtihani, unajifaharisha kushiriki kwenye Uongo uliosababisha watu kuwa wajane, mayatima, wapweke, maskini, jobless, walemavu!
 
Zuzu hilo hata huko walikomchagua sijui walifikiri nini, sasa badala ya kuwawakilisha anaganga njaa ili watoto wake waende chooni.
 
Haya aliyoongea mheshimiwa Nkamia ni aibu kubwa kwake yeye na familia yake kumbe yote anayoongea ni kwa sababu ya njaa tumchukulie kama mjinga na tuachane naye kuendelea kujadili upumbavu wake ni kupoteza muda hata naibu spika kanichosha alivyomsifu badala ya kumponda
 
Mnamshangaa Nkamia kwa nini?Mbona viongozi wetu karibu wote ni wale wale?Posho kwanza Taifa baadaye.Tusubiri siku Viongozi watakaomuogopa Mungu na watakaokuwa na UTAIFA kwanza POSHO baadaye kuzaliwa,kwa sasa tuwavumilie tu hawa na kuliombea Taifa letu basi!
 
Bado anaendeleza yaleyale ili watoto wake wasome na yeye atengeneze pension.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…