Juma Nkamia acha uongo!

BBC ya ndani (local) ina Channel nzima ya Bunge tu!
 

Nafikili ungeweka ushaidi wa hoja KUONYESHA ukweli kuwa linaonyeshwa live badala ya mipasho ya kuajiriwa au ukibarua yanatuhusu nini lofa tu wewe
 
Nenda kafanye kazi kuongeza kipato chako ili usiwe mzigo kwa serikali maana hata wakionyeshwa live kwenye kipato chako binafsi cha kila siku unapata nini?
 
Hivi Juma Nkamia bado ni mbunge?
 
Uwezo wako hautofautiani na Nkamia, wewe endelea kuuza t-shirts na kofia za chama hapo Lumumba.
ungefanya alichoshauri pasingekuwa na ubaya wowote,lakin hli jibu lako linaonesha hujui chochote juu ya hoja husika
 
wewe hutazama BBC gani?..au big black c**k?!..BBC ina mpango wa kupunguza idhaa kisa hasara
 
huyu ni mwongo mzoefu , aliwahi kujifanya ofisa wa BBC ( nadhani alilenga kutapeli watu ) kumbe ni deiwaka wa kusoma taarifa za kiswahili ambazo hazikuzidi hata dk 15 kwa siku !
 
kama hujui kitu ni bora kutokuandika. waingereza wanachangia £147 kwa kila nyumba kwa mwaka kuendesha BBC, kitu ambacho TBC haifanyi. Na BBC wanachanel nyingi kwa hiyo siyo moja inayorusha matangazo na wala BBC unayosikiliza huko bongo wakati wingine ni tofauti sana na ile wanayosikiliza waingereza wenyewe.
Hata hivyo siungi mkono TBC kutokurusha matangazo maana inatumia kodi zetu, lakini hata hivyo nasema sawa tu wasirushe maana Kikwete aliwadekeza sana, sasa acha muisome number kwanza. Mh. Magufuli popote ulipo usiruhusu TBC kurusha bunge live, acha kwanza waisome number hawa ngedere.
 

Hata kama ahlionyeshwi live kwani sisi ni Mkoa ndani ya Uingereza?Hivi huko uingereza kuna majangili,maafisadi na wala rushwa kama CCM.

Asifananishe Tanzania na nchi yoyote ndiyo maana hatutawaliwi kifalme.
 
It means hadi wazazi wako ni ngedere?
 
Na waziri wanaotupwA kwenye hiyo Wizara...... Nnauye
Nkamia[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 

Nichangie ili kuonyesha miondoko ya kukata viuno??

Abunuas hebu jiulize ile TBC 2 ambayo toka asubuhi mpaka asubuhi siku ya pili ni TAARABU,Mipasho na nyimbo za kina Diomond tu,nani analipia gharama za kuendesha ujinga na upumbavu wa TBC 2???Je TBC 2 siyo TV ya TAIFA??Abunuas hatukatai serikali pato bado dogo basi watueleze tu hiyo TBC 2 inamsaidia nini Mtanzania wa kawaida?Je hivyo viuno ni bora kugharamiwa kuliko vipindi vya Bunge?Je hivi hakuna hata mtu mmoja ndani ya TBC ambaye ataenda hatua tatu mbele za kutafuta matangazo ya biashara ya kutosha kukidhi haja??Maana ni rahisi kupata matangazo mengi na kupata faida kuliko hasara,lakini Wakurugenzi wa TBC 1 na Waziri wa habari wameshindwa hata kubuni njia hii....

Hapa kazi tu maana yake kuifanya akili ifanye kazi ya ziada ili kupata ziada lakini sababu CCM na serikali yake ikidhani hata bunge ni sehemu ya serikali basi wao ndiyo wenye haki ya kusema hapana au ndiyo.Bunge ni Mihimili ulio huru,Magufuli anatakiwa kulijua hilo,na ili adhma yake ifanye kazi lazima ujinga wa wabunge tuuone,hata wakipigana tuwaone tuwahukumu 2020.Hakuna siri siku hizi............

Kama hujui Abunuas hao wanaokataa lisionyeshwe wanasiri wanataka kumficha Magufuli,wanatengeneza situation Magufuli achukiwe mapema na watanzania,kama alisema Serikali ya MAGUFULI basi aonyeshe utofauti na wale wenzake aliache BUNGE kuwa huru ili aweze kufaidika na akifanya hivyo mwaka 2020 hatahitaji Nguvu nyingi kidogo tu.Lakini kwa kuwafunga midomo wabunge basi ajue anapoteza.
 

wala huhitaji kunieleza yote hayo. nayajua sana tu. nilichokiandika ungekisoma btw the line wala usingehangaika na haya. Ukweli ni kwamba wanachofanya serikali ya ccm sio sahihi hata kidogo, na hilo liko wazi kwa kila mmoja mwenye akili kama MIMI. ila mimi kwa upande mwengine nina furaha sana kwa anachokifanya magufuli. Kikwete aliwapa uhuru sana karibia wa kila kitu. mkaishia kumtukana na hata wengine kutaka kumdhalilisha kabisa. sasa acha kwanza muone upande wa pili wa shilingi ili siku nyingine mjifunze.
Mama Makinda pia mlimtukana sana wakati kiukweli kabisa alikuwa fair sana mpaka na kumuita majina ya ajabuajabu kama bibi kiriboto. sasa mmekutana na mkono wa chuma wa joka la makengeza.
nasema na iwe hivyo ili siku zijazo iwe fundisho kwenu na kwa vizazi vyenu vijavyo.
 
wewe ni mbunge wa jimbo gani.
jimbo nililokuwa nigombee kwa tiketi ya chadema hili la TEMEKE makubaliano ya UKAWA yaliamua mwana cuf apeperushe bendera , na mimi nikaheshimu maamuzi ya pamoja , umoja ni nguvu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…