kilombero kwanza
Member
- Jan 16, 2015
- 62
- 24
Msanii nguli wa kizazi Juma Kasim Kiloboto, atangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la Temeke lakini alishindwa kuweka bayana ni chama gan atatumia kutimiza lengo hilo, la kuwaondolea kero wakaz wa Temeke. Tetesi zinanyetisha kuwa awali ilikuwa atangaze nia kupitia chama cha kafu, lakini mh Sugu amemshaur, kugombea kupitia CHADEMA jambo ambalo bado analifikiria.