bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,813
Huyu jamaa katika Tanzania hii ukimtoa Hasheem Dogo, sijui kama kuna msanii anaeweza kumfikia kwa tungo zake! Hakika mchops aka moe technics anastahili sifa na tunzo maalum kutokana na kazi zake nzuri alizotoa na anazotoa.
Mfano, Maisha ya boarding, Narudi shule, Stori tatu, Mvua na Jua na cheza kidogo. Ama kweli hata ukimuuliza Kinywele aka Majani, msanii anaemkubali atakwambia Mchops. Huu ni mtazamo wangu!
Mfano, Maisha ya boarding, Narudi shule, Stori tatu, Mvua na Jua na cheza kidogo. Ama kweli hata ukimuuliza Kinywele aka Majani, msanii anaemkubali atakwambia Mchops. Huu ni mtazamo wangu!