Juma Kaseja; Mene Mene Tekeli na Pelesi

Juma Kaseja; Mene Mene Tekeli na Pelesi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Nadhani ni wakati wa Juma Kaseja Kuyasoma hayo maandishi ukutani, nilimuangalia sana udakaji wake wa jana nikaona hakika jua linazama kwani si Kaseja yule wa Simba, na ashukuru mipira kadhaa iliyomgonga mikononi

sina haika sana lakn naambiwa baada ya mechi ya jana mashabiki kadhaa walimrushia chupa, wakati huo nikiwa nimeshatoka, na habari zaidi zinajuza kwamba hasira zimezidi kwani washabiki wa Yanga wanamtuhumu kuhusika na kuumia kwa Dida katika mazingira ya utata kwamba huenda "Kamati ya Ufundi" ya Juma imehusika
 
Mlaumuni kiiza aliyekosa penati

anaumia casilasi,seuze dida!!

Zingeongezwa dakika 5 tu kandambili mngelia zaidi.

Azam kileleni hadi ubingwa!!
 
Nadhani ni wakati wa Juma Kaseja Kuyasoma hayo maandishi ukutani, nilimuangalia sana udakaji wake wa jana nikaona hakika jua linazama kwani si Kaseja yule wa Simba, na ashukuru mipira kadhaa iliyomgonga mikononi

sina haika sana lakn naambiwa baada ya mechi ya jana mashabiki kadhaa walimrushia chupa, wakati huo nikiwa nimeshatoka, na habari zaidi zinajuza kwamba hasira zimezidi kwani washabiki wa Yanga wanamtuhumu kuhusika na kuumia kwa Dida katika mazingira ya utata kwamba huenda "Kamati ya Ufundi" ya Juma imehusika

Toa hoja yenye mashiko co kutoa kwa kukisia mkuu
 
Amavubi, hicho kichwa cha habari nimekipenda, yaani hadi nimejikuta nacheka kwa sauti peke yangu. Bigup.
 
wakati wa karamu,na tazama,oh,kiganja kisicho na mkono kilionekana kikiandika ukutani,Mene mene Tekeli na pelesi! Ha ha ha! Daniel ngapi vile mkuu...?
 
ha ha ha!huu unabii unaanzia pale alipotuonyesha Maandisha ya there is only one Kaseja!badala ya there is only one GOD!
 
wakati wa karamu,na tazama,oh,kiganja kisicho na mkono kilionekana kikiandika ukutani,Mene mene Tekeli na pelesi! Ha ha ha! Daniel ngapi vile mkuu...?

Ngoja Wasabato waje wakuchambulie Unabii hapa, si ajabu ukasikia Ivo arudi YANGA
 
Ndio maana mpira wa bongo hauendelei, ni majungu tu kila wakati, watu hawana uvumilivu hata kidogo, watu wanaona Simba na Yanga ndizo zina haki ya kushinda kila siku tu na ikiwezekana ubingwa uamuliwe ktk mechi za Yanga na Simba. Sijaona kosa la Kaseja mpaka kuanza kuwakatisha tamaa watu kua hana hadhi ya kulinda langoni. Tubadilike na tufahamu kua ligi inapokua ushindani inaleta raha na ushindani stahiki kiasi cha timu kujituma na wachezaji kuongeza viwango. Kila Kipa anafungwa na wanakosa penati.
 
wakati wa karamu,na tazama,oh,kiganja kisicho na mkono kilionekana kikiandika ukutani,Mene mene Tekeli na pelesi! Ha ha ha! Daniel ngapi vile mkuu...?

Dan 5:25, tafsiri ya MENE f.26, TEKELI f.27 na PERESI f.28. Umepimwa katika mizani, nawe umepungua na ufalme wako umegawanyika.
 
Back
Top Bottom