DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,129 Nov 4, 2025 #1 Juma Jux kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pole kwa famili zilizopoteza watu katika maandamano. "Mungu ibariki 🇹🇿 tanzania, praying for peace and healing. Mungu awatie nguvu na faraja waathirika wote. 💔🙏🏽
Juma Jux kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pole kwa famili zilizopoteza watu katika maandamano. "Mungu ibariki 🇹🇿 tanzania, praying for peace and healing. Mungu awatie nguvu na faraja waathirika wote. 💔🙏🏽
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,069 Reaction score 102,470 Nov 4, 2025 #2 Ngoja wamporomoshee matusi tu. 😀😀
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 40,734 Reaction score 118,638 Nov 4, 2025 #3 Naona akili zimeanza kupanda kichwani taratibu. Nilitegemea angetumia fursa hii kumpongeza Rais wake wa kupata ushindi wa kishindo wa 97.66%
Naona akili zimeanza kupanda kichwani taratibu. Nilitegemea angetumia fursa hii kumpongeza Rais wake wa kupata ushindi wa kishindo wa 97.66%
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 28,981 Reaction score 51,454 Nov 4, 2025 #4 Tate Mkuu said: Naona akili zimeanza kupanda kichwani taratibu. Nilitegemea angetumia fursa hii kumpongeza Rais wake wa kupata ushindi wa kishindo wa 97.66% Click to expand... Dhubutu, wanajua moto uliopo
Tate Mkuu said: Naona akili zimeanza kupanda kichwani taratibu. Nilitegemea angetumia fursa hii kumpongeza Rais wake wa kupata ushindi wa kishindo wa 97.66% Click to expand... Dhubutu, wanajua moto uliopo
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,104 Reaction score 1,249,082 Nov 4, 2025 #5 Chawa alikua jeuri sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,586 Nov 4, 2025 #6 Akili zinatuka sawa sasa, baada ya kunyoshana kidogo... Cc: Mahondaw
X Xi Jinping JF-Expert Member Joined Jun 14, 2023 Posts 8,102 Reaction score 23,690 Nov 4, 2025 #7 Sio kwamba wasanii akili zimerudi Hawa wasanii wote wamepewa maagizo kutoka juu Angalia aina ya post zao zinafanana ujumbe "amani" "poleni sana" "tuwe na subira", "tukae pamoja" na blaah blaah kama hizo Millard Ayo kapewa kandarasi ya kurusha hizo jumbe zao za kinafiki Msiwape airtime kmmmk wasenge tu hao
Sio kwamba wasanii akili zimerudi Hawa wasanii wote wamepewa maagizo kutoka juu Angalia aina ya post zao zinafanana ujumbe "amani" "poleni sana" "tuwe na subira", "tukae pamoja" na blaah blaah kama hizo Millard Ayo kapewa kandarasi ya kurusha hizo jumbe zao za kinafiki Msiwape airtime kmmmk wasenge tu hao
M Mkohoti JF-Expert Member Joined Oct 24, 2020 Posts 2,460 Reaction score 3,881 Nov 4, 2025 #8 Asijitekenye!, Nyimbo zake watakua wanasikiliza wanaijeria.
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,195 Reaction score 10,821 Nov 4, 2025 #9 Mwenzake nenga kadeactivate kama sio kudelete account