Hance Mtanashati JF-Expert Member Sep 7, 2016 17,463 21,181 Jun 22, 2017 #1 Jux alikuwa anasomea nini maana nimeona amegradueti na wachina.
Leak JF-Expert Member Feb 22, 2012 52,212 42,074 Jun 22, 2017 #2 Jordi Pola said: Jux alikuwa anasomea nini maana nimeona amegradueti na wachina. Click to expand... huu uzi upeleke celebrity forum'' Mimi najua alikuwa anasomea degree ya kuhesabu miaka.
Jordi Pola said: Jux alikuwa anasomea nini maana nimeona amegradueti na wachina. Click to expand... huu uzi upeleke celebrity forum'' Mimi najua alikuwa anasomea degree ya kuhesabu miaka.
Digo zee JF-Expert Member Jan 20, 2017 549 1,125 Jun 22, 2017 #3 June 22, 2017 baada ya maswali ya watu mbali waliokuwa wanahoji kitu alichokuwa anafanyaJux China hatimaye mwimbaji huyo staa wa Bongofleva ameonesha picha za graduation ya kuhitimu Degree ya Computer Science kutoka Guangdong University.
June 22, 2017 baada ya maswali ya watu mbali waliokuwa wanahoji kitu alichokuwa anafanyaJux China hatimaye mwimbaji huyo staa wa Bongofleva ameonesha picha za graduation ya kuhitimu Degree ya Computer Science kutoka Guangdong University.
OMOYOGWANE JF-Expert Member Dec 30, 2016 3,654 9,258 Jun 22, 2017 #4 Shahada ya kutunisha mikono kwa key board
kadoda11 JF-Expert Member Jan 6, 2011 21,453 20,712 Jun 22, 2017 #5 hawawezi kukwambia. alichokuwa anasomea kinalindwa kama inavyolindwa mikataba ambayo serikali iliingia na wawezaji.
hawawezi kukwambia. alichokuwa anasomea kinalindwa kama inavyolindwa mikataba ambayo serikali iliingia na wawezaji.
middle east JF-Expert Member Dec 30, 2016 1,307 1,681 Jun 22, 2017 #6 Computer science ...nimependa alivyofanya wabongo wengi wali diss Mara ni ngada yule anasema lile
tremendous JF-Expert Member Aug 12, 2016 3,237 5,307 Jun 23, 2017 #7 Ruttashobolwa said: huu uzi upeleke celebrity forum'' Mimi najua alikuwa anasomea degree ya kuhesabu miaka. Click to expand... digrii
Ruttashobolwa said: huu uzi upeleke celebrity forum'' Mimi najua alikuwa anasomea degree ya kuhesabu miaka. Click to expand... digrii
enjai ya kyasha JF-Expert Member Apr 6, 2017 3,066 3,585 Jun 23, 2017 #8 mkuu humu ni great thinkers kwa hiyo tnajadaili ideas sio watu hayo ya kujadili watu peleka celebrities forum
mkuu humu ni great thinkers kwa hiyo tnajadaili ideas sio watu hayo ya kujadili watu peleka celebrities forum