Juma Duni: UKAWA imebaini kuna kura hewa milioni 9

Juma Duni: UKAWA imebaini kuna kura hewa milioni 9

ukichukua hesabu ya 33Mil toa 22 mil unapata 9mil.

ukiassume hii 9 mil ni difference kwa vituo ambavyo havitakuwa na watu 450 kamili, kwa maana vipi vitakavyokuwa na pungufu ya hapo.

Then 9Mil ukigawanya kwa idadi ya Vituo vilivyopo unapata 409 idadi ya watu. hakika hapa kuna bao la mkono kwani baki average yake ni kubwa inakaribia hata idadi ya vituo kamili.
 
Mzee huyo yuko sahihi kabisaaa,,ccm wameandaa vituo feki kwa kupitia nec
 
Back
Top Bottom