Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?


Hongera sana mpiganaji
 

Vijijini kuna wapiga kura wengi sana hawana access ya mitandao
 
Unajifurahisha sana gamba, kwa taarifa yako hakuna hata sehemu moja ukawa imewahi kuzomewa kama wanavyo zomewa ccm.angalia mkutano wa ccm huo

Huyo jamaa sijamwelewa
Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015
Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
16.8% 2449
Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
81.9% 11961
Other 1.4% 199
Total Vote 14609
- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal
 
Wameshaanza kukimbia mmoja mmoja, Ukawa haina haki kwa vyama vingine, chadema wanaendesha siasa za kibabe kwa wenzao
 
Hongera sana mpiganaji

Rafiki hawa wamezidi sana kila siku wapinzani wanapenda MADARAKA lakini wao kuyapata tu lazima wahonge,sasa sijui yupi hapa anayependa.Kama hawapendi siwaache kugombea nafasi zote????
 
Rafiki hawa wamezidi sana kila siku wapinzani wanapenda MADARAKA lakini wao kuyapata tu lazima wahonge,sasa sijui yupi hapa anayependa.Kama hawapendi siwaache kugombea nafasi zote????

Kweli Tetty
 

Kuna waliojidai JF ni jukwaa la Bavicha.
Sasa wanalialia kama ndorrrrobhoooo
 
Hivi ameshaonekana tena Bahu Duni? Maana naona tu majibizano ya kitoto humu. Kwanza mlidai kaenda kuhiji ila sasa naona zaidi ya wiki Babu hajapanda jukwaani na ratiba yake inaonyesha alitakiwa kuwa ziarani. Mtujibu Ukawa tujue kimoja.
 
KWA TAARIFA DUN HAJI WIKI MBIL HIZ YUKO BIZEEEEEEEE

ANABARGAIN NA DACTAR MKUU WA SERIKALI JINSI GAN NA KIASI GAN KITOLEWE

ILI KUKAMILISHA MCHAKATO WA KUKATA JIGOVI LILILO KOMAA LA MUHUSKA WOTE TWAMJUA!!!!apo chacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…