Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?


Hebu nikumbushe Saddam Hussen alitokea nchi gani?
 

Porojo..
 
jamani tuambieni yuko wapi BABU duni WETU jamani mbona ED yupo tunamuona?
 
Yupo kwani ulitaka muwe nae? mbona akina Nyerere walikuwa na magufuli na leo hawaonekani enhee nao vipi wamekata tamaa?
 

Unajifurahisha sana gamba, kwa taarifa yako hakuna hata sehemu moja ukawa imewahi kuzomewa kama wanavyo zomewa ccm.angalia mkutano wa ccm huo
 
Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015
Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
16.8% 2449
Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
81.9% 11961
Other 1.4% 199
Total Vote 14609
- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal
 
Dhamira imemsuta kujitoa cuf kaamua kurudi kimyakimya.

Angalia wana ccm mnavyotia aibu mikutanoni mwenu watu wamewakataa hadi mnawapigia magoti
 

Attachments

  • 1443369990053.jpg
    25.4 KB · Views: 133
Amepumzika sababu jeshi la Lowassa na Sumaye linatosha ameona ajiandae kukabili shughuli za kutumikia wananchi kwani wanasubiria kuapishwa tu
VIVA UKAWA!!

Viva viva viva viva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…