JUMA DUNI KAPOTELEA WAPI?
Mgombea mwenza Ukawa Babu Duni amekata tamaa kabisa ya kutoendelea na mikutano ya kampeni kutokana na zomeazomea kuendelea kuikabili Ukawa.
Hata hivo kuna uwezekano Babu Duni akawa amesoma upepo mapema hivo kuamua kijiondoa ili kupunguza upotevu wa gharama.
Mbali na hivyo kwa taarifa za ndani kutoka CUF inasemekana anatakiwa arudi CUF kwasababu Ukawa wamekiuka makubaliano yaliyoafikiwa juu ya usawa wa vyama shiriki ukawa hivyo anatakiwa kujiondoa haraka Chadema arudi CUF na huo ndio utakua mwisho wa Ukawa
Du hii kali!Yupo likizo, ameambiwa apumzike kidogo
Babu duni kwa heshima aliyonayo kaona akae mbali maana jamaa anamdhalilisha kila akifika stand yeye anakata gogo hadharani.
Du hii kali!
Apumxike Duni ambaye ni mzima wa afya, aachwe mgonjwa aendelee na kampeni peke yake?
Mwe babu duni ni tatizo bhnaa
Kenda Dubai kumnunulia ....... pampers... teh teh teh
jf imekuwa sehemu ya hovyo kweli,kuna lundo la wajinga wengiiii wameletwa na ccm kushambulia hoja zao zinatia mpaka aibu,mfano hapo umeongea nini? pole sana kama ungesoma shule usinge andika ujinga huu hapa.Kama ndiyo kampeni ndiyo hizi za ccm basi nchi hii imekwisha.
jf imekuwa sehemu ya hovyo kweli,kuna lundo la wajinga wengiiii wameletwa na ccm kushambulia hoja zao zinatia mpaka aibu,mfano hapo umeongea nini? pole sana kama ungesoma shule usinge andika ujinga huu hapa.Kama ndiyo kampeni ndiyo hizi za ccm basi nchi hii imekwisha.
Sa si useme bab Duni alipo!!
Umesema ukweli mkuu. Wenye busara wote ccm jf wamejiweka kando wamemwagwa humu zumbukuku wa ajabujf imekuwa sehemu ya hovyo kweli,kuna lundo la wajinga wengiiii wameletwa na ccm kushambulia hoja zao zinatia mpaka aibu,mfano hapo umeongea nini? pole sana kama ungesoma shule usinge andika ujinga huu hapa.Kama ndiyo kampeni ndiyo hizi za ccm basi nchi hii imekwisha.