Habari za saa itv mchana huu namuona babu duni akiwahutubia wakazi wa lindi vijijini! Huamini basi subiri habari ya saa 2 usiku!
huu uzushi ume expire anzisheni mwingine!
Ni muda umepita bila kusikia chochote kutoka kwa mgombea mwenza wa Lowasa ambaye ni Haji Duni (Babu Duni), je anaendelea na kampeni kimyakimya au vp? kwa anayejua hebu atujuze hapa tafadhal
Babu Duni yupo anaendelea na ziara zake huko vijijini .
Ni muda sasa hata Samia Suluhu hajaonekana naye au ameshajitoa?huko ccm hali inazidi kuwa kila siku.
masisiem hawana sera tena wamebaki kufanya maigizo
Wana jamii nauliza tu,yule mgombea mweza wa UKAWA Mhe. Juma Duni aka babu Duni yuko wapi kwa sasa? Mbona kimya wakati spidi yake ya mwanzo ilikuwa ni hatari au ndio hivyo wanasema keshachoka kuwapigia debe wanachadema?? Nauliza tuu