Kabla ya hekaheka za uchaguzi na katika umoja wa ukawa ambao kwa sasa umekuwa ukiwa tuliona "watu wazima na fahamu zao" wakihama vyama kwa maslahi yao. Mmojawapo ni Juma Duni kuondoka CUF na kuhamia chadema kwa maslahi ya kujitafutia muradi wake.
Mambo hayakwenda kama walivyotarajia, Jee, atadai talaka na kurudi kwao au atabaki kwa Mbowe kama mke asiye na sauti?
Halikadhalika, Jee Lowassa atabaki kuwa anaripoti kwa Mbowe? Au Mwenyekiti wa CHADEMA atabaki kuwa mtumwa wa fedha na kuripoti kwa Lowassa?
Kingunge?
Sumaye? (hili jina hunikumbusha Marehemu Somogae wa Mombasa), wa zamani watanielewa.
Chokono.
uliwahi kuona sehemu yoyote juma dun haji anakabidhiwa kadi ya CHADEMA?
Bab duni bado ni mwanachama halali wa CUF
Huna haya? Wala hujui vibaya?
CCM mbele kwa mbele.
Jibu maswali, au mtawapa ubunge wa viti maalum?
Kwi kwi kwi teh teh teh!
uliwahi kuona sehemu yoyote juma dun haji anakabidhiwa kadi ya CHADEMA?
Bab duni bado ni mwanachama halali wa CUF
kabla ya hekaheka za uchaguzi na katika umoja wa ukawa ambao kwa sasa umekuwa ukiwa tuliona "watu wazima na fahamu zao" wakihama vyama kwa maslahi yao. Mmojawapo ni juma duni kuondoka cuf na kuhamia chadema kwa maslahi ya kujitafutia muradi wake.
Mambo hayakwenda kama walivyotarajia, jee, atadai talaka na kurudi kwao au atabaki kwa mbowe kama mke asiye na sauti?
Halikadhalika, jee lowassa atabaki kuwa anaripoti kwa mbowe? Au mwenyekiti wa chadema atabaki kuwa mtumwa wa fedha na kuripoti kwa lowassa?
Kingunge?
Sumaye? (hili jina hunikumbusha marehemu somogae wa mombasa), wa zamani watanielewa.
Chokono.
Lowasa atabaki mshauri wa kisiasa wa
CHADEMA
Kingunge na Sumaye sio wanachama wa CHADEMA
Hakuna haja ya kumuonea huruma mtu mzima,kikongwe kama Ngombale Mwiru aliyeamua kujitoa ufahamu na kujiunga na vijana wanaovaa kata k na kucheza kigodoro...lazima alinywe...hilo swali mtoa mada nilikuwa najiuliza naona wanywa viloba wanabakia kutukana wanashindwa kujibu hoja.
pamoja na wote hao hakuna mtu namuone huruma kama kingunge ngambare mwiru