Juma Aweso ndiye Rais ajaye

Mtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
🤣🤣🤣🤣
Mkuu hebu acha maskhara bana.....

Hivi watanzania tuwavivu sana wa KUFANYA KAZI kiasi kwamba kila MZALENDO ANAYEFANYA KAZI YAKE VYEMA anastahili KUGOMBEA URAIS ?!!!! Khaaaaa...🤣🤣

Kiutendaji ni kweli mh.Jumaa Aweso ni MZALENDO na MPAMBANAJI HASWA.....ila URAIS ni suala jengine komredi......

#KaziIendelee
 
You're totally wrong

1. Akitoka ccm atakuwa mkristo ndio utaratibu wa ccm ..... kubadilishana

2. Akitoka vyama vya upinzani anybody and don't write off Tundu Lisu.
Haina mantiki hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…