Juma Aweso ndiye Rais ajaye

Juma Aweso ndiye Rais ajaye

Mtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Hahahaha sio Sabaya tena wala Makonda? Wala January? Hahahaha tulikuepo tutaendelea kuona mengi
 
Mtake msitake hiyu ndiye raisi anayefuata baada ya mama samiha.alama zote zinaonekana anayepinga apinge kwa hoja.
Kuna siku hata Chidi Benzi mtasema ndiye rais ajaye... Hii taasisi ya urais imefanywa extremely cheap yanii...
 
Sio dhambi sometimes ulitumia akili zako timamu. #TumiaAkili
 
Uzuri na ushenzi wa kuandika unaweza kuandika chochote kile mfano naweza nikasema nina dola bilioni ishirini.....
kumbe sio kweli!?
 
Back
Top Bottom